Ucheleweshaji Ajira Shirika la Posta

Ungekuwa unapitia uzi pendwa usingekuja na haya malalamiko mtumishi wa umma.

Mpaka muda huu wewe tayari ni Afisa wa umma. Tuliza mpesha, acha papara, maafisa utumishi wanashughulikia jambo lenu. Kuchelewa kuanza kazi ni kawaida. Binafsi nilisubiri miezi takribani minne.

Subra ni ibada. Japo ulikosea kuacha kibarua mapema kwa kuwa hukujua, watu huwa wanaaga siku wakiitwa kuanza kazi. Nakumbuka siku naitwa kuanza kazi nilikuwa kwa tajiri yangu juu ya kigae nikifunga dishi la Azam.

All the best mkuu. Karibu Halmashauri ya Tanganyika.
 
Upo sahihi mkuu wacha tuendelee kusubiri.
Sema mkataba wangu ulikua Ni lazima nitoe notisi ya siku 14 kabla ya kuondoka.
 
Kuna dogo alikaa miezi 6 hadi tukahisi alitupiga changa la macho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…