Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara (TPLB) imeipiga faini ya milioni 1 klabu ya Simba SC kwa kosa la mashabiki wake kumwaga vitu vyenye asili ya unga katika uwanja wa Ali Hassan Mwinyi kabla ya wachezaji hawajaanza kufanya mazoezi siku moja kabla ya mchezo.
Tukio hilo limetafsiriwa kama vitendo vinavyoashiria imani za kishirikina jambo ambalo ni kinyume na matakwa ya kanuni ya 47:1 ya Ligi Kuu kuhusu Udhibiti wa klabu. #EastAfricaTV

Sio kweli kilichofanyika ni siasa ili kuwapaka simba matope ..hiyo bodi yote wanafxrw hamna mwenye akili hapo..ni mikxnd tu wote..Huo unga wamepima kwa kipimo gani inayothibitisha ni uchawi?na Je wanauwakika gani kama ni washabiki wa Simba sc kwasababu washabiki wayanga wenye nia ovu wanaweza kuvaa jezi za Simba sc..
Mzize na kibwana shomari?
Au misimu yote mnapocheza na simba lazima mtumie mlango tofauti na wa uwanja unaojulikana?
Msikilize semaji lako likiongelea majini yenu