Nmewahi kushuhudia maajabu mengi kwa kuyatafuta haikuwa bahati mbaya nimeshuhudia mtu anazikwa hai na kufufuliwa, nimeona zindiko la wizi na kukwepa polisi porini, mwizi humuui bila kujua dawa yake, back in 2005 kulitokea scandal kubwa ya series za uchawi acha kabisa .
Fisi na chatu ni wanyama watu wanaishi nao geto, usishangae hujui Sayansi ya wachawi ni mbingu na ardhi!!!wanakijiji tukafanya fujo mpaka kanisa likafa na mchungaji akasimamiwa na polisi akahama kijiji....
Dunia ina vitu vya ajabu na kuna vitu hutakaa uvijue mpaka mwisho wako hapa duniani, Dunia ina wenyewe haina mwenyewe. Stori za kuishi baharini, kukutana na viumbe vya ajabu huwezi kuamini mpaka uwe mtu wa ajabu.
Miaka 350 ijayo watakaokuwepo watakuwa wanaona sisi watu wa miaka ya 1900-2100 tulikuwa ni kizazi dhaifu na cha hovyo, huwezi kuanini ata raisi Nyerere, Bush, Biden, Vldmir watakuwa hawapewi heshima ya baba wa taifa itakuwa tu kama mtu wa kale kule Olduvaii George, sio stori ya kusisimua kupata coverage kivile, ni kama tu wakina kinjikitile Ngwale, au Mansa Kanka Musa wa Mali
.
Kutakuwa na vitu vingi vya maana vya kupewa kipau mbele kama taifa na sio maraisi wa miaka 300 nyuma sio habari