Mavindozii
JF-Expert Member
- Oct 20, 2012
- 2,111
- 2,779
Wana JF,
Naomba kuuliza kama Kuna mtu anayejua kama ni ukweli mtu anaweza kumfanyia mtu mchezo mchafu wa kufanya uume wake ushindwe kufanya kazi Aidha kwa kumkomoa au kumwadhibu kama ametembea na mtu wake je hii nguvu ya gizaa ipo au ni blabla tu.
Nasikia huu mchezo uko sana mikoa ya PWANI BUT IM NOT SURE .KWA WALE WANAOTOKA HIYO MIKOA WAJE NA STORY ZAO PLEASE.
HAMNA KUKUWAZANA KAMA HUNA MCHANGO WA MAANA KEEP OFF OF MY ADD.