Emma M Bai
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 223
- 126
Kuna uhusiano gani kati ya mafanikio yako na uchawi ushirikina?
Mafanikio katika nyanja zote ni lazima nguvu za Giza zihusike ?
Kwa wale mnaotumia nguvu hizo naomba mtupe uzoefu wenu kulingana na eneo lako ulipo na the way uchawi unavyokusaidia
Mungu humlinda anaejilinda je utajilinda vip bila hiz nguvu uchawi lazima uuhusike
Utawezaje kuendesha biashara bila uchawi? Bila kuwa mchawi chuma ulete watakusumbua sana pambana
Kwanini maduka mengine wateja wanakuwa mpaka wanapanga foleni wakati maduka mengine yapo wazi na bidhaa hizo walizopanga folen kusubir zipo kwa maduka mengine sababu ni nini?
Naombeni tuchangie tuache ushabiki hili siyo jukwaa la dini hata me mungu namwamini na ninaamini yupo