tukiacha unafki, TRUTH BE TOLD...
Hawa watu wa ufalme wa giza siku hizi wana Ile beta version ya kuwaabudu, yaani, sio lazima ukaroge kwa mganga, elimu imerahisishwa tena buuure, na unafundishwa kila siku kwenye movies, series, mipira, muziki, siasa, n.k.
watu wanafanya ibada mpaka unawaonea huruma yaani....na kama mazombie, hayajielewi, kuwa yashakuwa matumwa ya ufalme mmoja, huku yanajishikiza kwenye ufalme mwingine...