Jenseny
JF-Expert Member
- Jan 26, 2011
- 1,743
- 1,732
habari za leo wote? nipo shamba shamba kweli kweli Bagamoyo ndani ndani nimeamua kulima tikiti japo ni mara yangu ya kwanza kulima ila nimeogopa kwa maneno ya wenyeji
Ushirikina ulivyoanza
nimekodi heka nne ile nimemaliza kulipia tu mwnyeji wangu akaniambia nitafute mpandio na dawa ya kulinda shamba
siku ya pili natafuta vibarua
nkaambiwa nitafute wasukuma ndio kidoogo wanaweza kufanya kazi bila kuharibu Masharti moja kati ya sharti ni kupata vijana wasiokunywa pombe na ambao hawatazini hadi ntakapovuna tikiti
Tubadilishane uzoefu huko kwenu ukoje?
nahofia nkiacha kuloga ntafail na kufanya shirki naogopa