Kuna habari nyingi sana za uchawi wa kila kabila Hapa nchini,
Kule Tanga milimani kwa wasambaa kuna aina nyingi za uchawi lakini aina hizi Hapa ni noma acha kabisa
1; Zongo- uchawi huu unakaa machoni, mwenye nao akikuangalia tu utaumwa tumbo kufa, au akikiangalia chakula hata kipikweje hakiivi na kikiiva kinakuwa hakina ladha kabisa na watakaokila lazima matumbo yawaume sana halafu waharishe sana
2; Banyanyi; maana yake kuchonganisha, ukipigwa aina hii ya uchawi utagombana na kila mtu
Fuiza; yaani fifisha, aina hii ikikupata kila utakachofanya hakikamiliki au hakifanikiwi
Ushinga; huu huwekewa wanawake, ambazo waume zao wana wivu sana au ambao wana wasiwasi na wake zao kuwa wanacheat,
Mwanamke aliyewekewa ushinga akizini tu na mtu mwingine tofauti na mumewe mwanaume huyo hufa ndani ya masaa sita, na uuume wale husimama dede hata baada ya kufa.
Kutua nyungu; maana yake kuvunja chungu hii hufanyika sana misibani kwenye sherehe au penye mkusanyiko wa ndugu, Hapa anayefanya hivyo ni mtu ambaye anakuwa hajaridhika au kaudhiwa chochote hivyo husaga chungu na kunuizia na kumwaga ule unga wa chungu kwenye vyombo vya maji,.Yani kila atakayekunywa hayo maji hana maisha tena ni uchawi wa mass killings
Ndele; uchawi wa kukufanya mwanaume upendwe na wanawake
Huo ni baadhi tu...Wanajamii nina access ya kupata hiyo kitu mwenye kuhitaji tuwasiliane
haha,yani eka kabisa izo mbuiHahahaaaaaa uzankumbusha hae sana,nasheka mvyee mgwe akatoa zongo weeeee nahea kusheka wandu.
mshana umeniacha hoiHuu ndele ndio anaotumia muswati
Point of correction huo ni uchawi wa kizigua na sio uchawi wa kisambaa..wasambaa hawanaga uchawi ingawa wapo vizuri sana kwenye tiba mbadala yaani tiba kwa mitishamba au mimeaKuna habari nyingi sana za uchawi wa kila kabila Hapa nchini,
Kule Tanga milimani kwa wasambaa kuna aina nyingi za uchawi lakini aina hizi Hapa ni noma acha kabisa
1; Zongo- uchawi huu unakaa machoni, mwenye nao akikuangalia tu utaumwa tumbo kufa, au akikiangalia chakula hata kipikweje hakiivi na kikiiva kinakuwa hakina ladha kabisa na watakaokila lazima matumbo yawaume sana halafu waharishe sana
2; Banyanyi; maana yake kuchonganisha, ukipigwa aina hii ya uchawi utagombana na kila mtu
Fuiza; yaani fifisha, aina hii ikikupata kila utakachofanya hakikamiliki au hakifanikiwi
Ushinga; huu huwekewa wanawake, ambazo waume zao wana wivu sana au ambao wana wasiwasi na wake zao kuwa wanacheat,
Mwanamke aliyewekewa ushinga akizini tu na mtu mwingine tofauti na mumewe mwanaume huyo hufa ndani ya masaa sita, na uuume wale husimama dede hata baada ya kufa.
Kutua nyungu; maana yake kuvunja chungu hii hufanyika sana misibani kwenye sherehe au penye mkusanyiko wa ndugu, Hapa anayefanya hivyo ni mtu ambaye anakuwa hajaridhika au kaudhiwa chochote hivyo husaga chungu na kunuizia na kumwaga ule unga wa chungu kwenye vyombo vya maji,.Yani kila atakayekunywa hayo maji hana maisha tena ni uchawi wa mass killings
Ndele; uchawi wa kukufanya mwanaume upendwe na wanawake
Huo ni baadhi tu...Wanajamii nina access ya kupata hiyo kitu mwenye kuhitaji tuwasiliane
nnje ya madaUnajua kama unamwamini Mungu. kwa Mungu aliumba vitu vyote na akaweka maalifa mbalimbali. Kumbuka huyu huyu Mungu ndiye aliyeumba miti na misitu. Sasa huo uchawi utafika wapi ukilinganisha na Damu ya Yesu, katika Jina la Yesu. Eti hao hao wachawi na uchawi wao huwa wanakufa na kuoza kabisa halafu wanakutana na hukumu ya Milele.
Kwenye mchezo wa Mpira -Football-. mtu akipiga mpira ovyo au kwenye kupiga pernalt kipa akienda upande tofauti na mpira yaani akikosea huwa inasema "Marikiti" sijui ina maana hiyo kwenye user name yako?nnje ya mada
Mmh LIKUD hapana ungeniambia ni wa watu wa Tanga wote ningekukubalia kiasi lakini ukisema wasambaa hawarogi nitakubishia kabisaPoint of correction huo ni uchawi wa kizigua na sio uchawi wa kisambaa..wasambaa hawanaga uchawi ingawa wapo vizuri sana kwenye tiba mbadala yaani tiba kwa mitishamba au mimea
kutua nyungu;zongo;ushinga;ndele; usiombe bali wataalamu wenyewe walishakufa wamebaki matapeli.Ila si mimi niliyeandika