uko afghanistan and siria? tangu muda huo mpaka sasa kashashuka anapika kwake.Nimepanda daladala Mbagara-Makumbusho
safari yangu ilikua inaishia mwisho wa safari
lakini nimeamua kuteremkia Karume.
amepanda mama mmoja kapiga Ninja ni kwamba
haonekani chochote hadi mikono kavaa gloves
anaongea na sim tangu anapanda hadi nateremka
alafu Inshallah nyingi kiufupi ni anaongea kiarabu
tupu!
nilichoambulia ni kimoja tu Kul nafs
dhaikatur maut nikaona isiwe tabu! Nimeshuka
mie nina watoto wadogo!
Nimetoka Lindi leo[/QUOTE
Kama kweli vile