Uchangiaji wa damu

LOTH HEMA

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2015
Posts
29,904
Reaction score
47,531
Hawa Red Cross wako dodoma kwenye event yao. Wanajitapa kutoa huduma kwa watu. Sasa mbona ukipeleka mgonjwa hospitalini mwenye uhitaji wa kuongezewa damu utalipia huduma hiyo wakati damu wanaikusanya bure mitaani, makanisani, masokoni na kwenye makundi fulani ya watu wenye uwezo wa kutolewa damu? Damu wanapata bure halafu hospitalini inauzwa, how come?
 
Ukichangia damu si wanakupa cheti ? Na hicho ni kithibitisho chako kupata kipaumbele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…