Hakuna anayebisha hii ndio ngoma Kali ya kufungia mwaka.
Huu wimbo kiukweli ni mkali kutokana na jinsi walivyotambaa na beat,baada ya harmonize kuingiza verse ya kwanza kisha rayvanny kuingiza inayofatia kiukweli kabisa rayvanny alikuwa amemfunika harmonize lakini baada ya harmonize kuingiza verse ya tatu kwenye wimbo huo alimfunika rayvanny.
Uzuri wa huu wimbo unachezeka alafu unaimbika kama ilivyokuwa kwa kwangwaru,
Yote kwa yote hawa jamaaa wanastahili pongezi kwani wimbo ni mkali mno hii ni kutokana na ufundi wa hawa vijana
View attachment 957496