Uchambuzi wimbo mpya wa Harmonize x Rayvanny.

eastmea

Senior Member
Jul 28, 2018
159
133
Hakuna anayebisha hii ndio ngoma Kali ya kufungia mwaka. Huu wimbo kiukweli ni mkali kutokana na jinsi walivyotambaa na beat, baada ya Harmonize kuingiza verse ya kwanza kisha Rayvanny kuingiza inayofatia, kiukweli kabisa Rayvanny alikuwa amemfunika Harmonize lakini baada ya Harmonize kuingiza verse ya tatu kwenye wimbo huo alimfunika Rayvanny.

Uzuri wa huu wimbo unachezeka alafu unaimbika kama ilivyokuwa kwa kwangwaru, yote kwa yote hawa jamaaa wanastahili pongezi kwani wimbo ni mkali mno hii ni kutokana na ufundi wa hawa vijana.

IMG_20181205_201747_503.jpg
 
Hakuna anayebisha hii ndio ngoma Kali ya kufungia mwaka.
Huu wimbo kiukweli ni mkali kutokana na jinsi walivyotambaa na beat,baada ya harmonize kuingiza verse ya kwanza kisha rayvanny kuingiza inayofatia kiukweli kabisa rayvanny alikuwa amemfunika harmonize lakini baada ya harmonize kuingiza verse ya tatu kwenye wimbo huo alimfunika rayvanny.
Uzuri wa huu wimbo unachezeka alafu unaimbika kama ilivyokuwa kwa kwangwaru,
Yote kwa yote hawa jamaaa wanastahili pongezi kwani wimbo ni mkali mno hii ni kutokana na ufundi wa hawa vijanaView attachment 957496
Mange Kasemaje?
 
mbona kwangu nimeiona ya kawaida sana! tofauti na nilivoijengea picha...bora hata ile waliyofanyaga enzi zileee kmaa ya mchiriku hivi nazani inaitwa "Penzi"....ila ngoja niupe muda kwanza huwenda ukaniingia kadri siku zinavyokwenda
 
uchambuzi gan huo mkuu ,,weka mashairi uchambue ,,hayo ni maelezo ya kuusifia wimbo sio uchambuzi
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom