Uchambuzi wa Hans Rafael Baada ya mechi ya Yanga na Rayon sports

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
22,854
Reaction score
32,657
Achana na magoli ya Pacome,Boyeli na Nondo,achana na kasi ya umeme ya Ecua na Chikola ila naomba tuzungumzie “Romain Folz Ball”

Mechi ya kwanza ya ushindani ya Folz wote tumeiona,anataka timu yake iwe compact wakati wa kuzuia,na wakati wa kushambulia anahitaji kudumisha upana huku akiwataka mawinga wake (Pacome & Ecua) waanzie mikimbio pembeni kisha wafanye mikato ya haraka ya wembe kuingia kwenye box la timu pinzani (Razor-sharp movements).

Kati kati ya uwanja Folz anahitaji fluidity (Free flowing football) wale viungo watatu wanatakiwa kutengeneza umbo la pembe tatu (triangle) huku muda wote wakibadilishana nafasi….Folz anamtaka namba #6 kucheza kama namba #8 kisha namba #8 kuchezakama namba #10 na namba #10 kucheza kama namba #6. Wale watatu (Balla Conte,Maxi na Doumbia) wanabadilishana sana nafasi.

Tayari Idea ya Folz imeonekana kilichobaki ni kutafuta “Chemistry” baina ya mchezaji na mchezaji kitu ambacho nahisi kitachukua miezi miwili hadi mitatu baada ya hapo hakuna timu Tanzania itatamani kukutana na Yanga.

TF Rayon 1-3 Yanga.

Kombe la kwanza la wananchi kabatini

@usajili_na_hansrafael14

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Matambo yote kwenye CAF Champion mnaishia makundi😀😀😀😀
Huwa inashangaza sana, Simba ambayo haijachukua kombe lolote misimu 4 kwenye timu bora Afrika ni ya 5 ila Yanga ambayo imechukua makombe misimu 4 Inashika nafasi ya 13😀😀😀😀😀 Unasajili wacheza kuifunga Simba na kuweka mabango mtaani ukifikiri umecheza fainali ya CAF champion League
MWAKAROBO VS MWAKAKIKUNDI
 
Matambo yote kwenye CAF Champion mnaishia makundi
Huwa inashangaza sana, Simba ambayo haijachukua kombe lolote misimu 4 kwenye timu bora Afrika ni ya 5 ila Yanga ambayo imechukua makombe misimu 4 Inashika nafasi ya 13 Unasajili wacheza kuifunga Simba na kuweka mabango mtaani ukifikiri umecheza fainali ya CAF champion League
MWAKAROBO VS MWAKAKIKUNDI
Ngoja tusubiri term hii

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Ali Kamwe alinishangaza sana (ndiyo maana alizimia kuingia Mwakarobo, siyo mchezo) anaandaa press conference kwa kusema "kuna watu wazima watawasalimia watoto wao"😀😀😀😀
Nikajua ataongea hivi, Yanga hana mpinzani kwasasa, makombe yetu ni kawaida na hatuwazi kwahiyo malengo yetu ni kuchukua kombe la CAF champion league😀😀😀
 
Ali Kamwe alinishangaza sana (ndiyo maana alizimia kuingia Mwakarobo, siyo mchezo) anaandaa press conference kwa kusema "kuna watu wazima watawasalimia watoto wao"
Nikajua ataongea hivi, Yanga hana mpinzani kwasasa, makombe yetu ni kawaida na hatuwazi kwahiyo malengo yetu ni kuchukua kombe la CAF champion league

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Ali Kamwe alinishangaza sana (ndiyo maana alizimia kuingia Mwakarobo, siyo mchezo) anaandaa press conference kwa kusema "kuna watu wazima watawasalimia watoto wao"
Nikajua ataongea hivi, Yanga hana mpinzani kwasasa, makombe yetu ni kawaida na hatuwazi kwahiyo malengo yetu ni kuchukua kombe la CAF champion league

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Matambo yote kwenye CAF Champion mnaishia makundi😀😀😀😀
Huwa inashangaza sana, Simba ambayo haijachukua kombe lolote misimu 4 kwenye timu bora Afrika ni ya 5 ila Yanga ambayo imechukua makombe misimu 4 Inashika nafasi ya 13😀😀😀😀😀 Unasajili wacheza kuifunga Simba na kuweka mabango mtaani ukifikiri umecheza fainali ya CAF champion League
MWAKAROBO VS MWAKAKIKUNDI
Je wewe una Kombe gani timu la CAF.
NB: Ni wapi katika kabati lenu mmebandika hizo Rank kama ndio makombe yenu.....!?
 
Achana na magoli ya Pacome,Boyeli na Nondo,achana na kasi ya umeme ya Ecua na Chikola ila naomba tuzungumzie “Romain Folz Ball”

Mechi ya kwanza ya ushindani ya Folz wote tumeiona,anataka timu yake iwe compact wakati wa kuzuia,na wakati wa kushambulia anahitaji kudumisha upana huku akiwataka mawinga wake (Pacome & Ecua) waanzie mikimbio pembeni kisha wafanye mikato ya haraka ya wembe kuingia kwenye box la timu pinzani (Razor-sharp movements).

Kati kati ya uwanja Folz anahitaji fluidity (Free flowing football) wale viungo watatu wanatakiwa kutengeneza umbo la pembe tatu (triangle) huku muda wote wakibadilishana nafasi….Folz anamtaka namba #6 kucheza kama namba #8 kisha namba #8 kuchezakama namba #10 na namba #10 kucheza kama namba #6. Wale watatu (Balla Conte,Maxi na Doumbia) wanabadilishana sana nafasi.

Tayari Idea ya Folz imeonekana kilichobaki ni kutafuta “Chemistry” baina ya mchezaji na mchezaji kitu ambacho nahisi kitachukua miezi miwili hadi mitatu baada ya hapo hakuna timu Tanzania itatamani kukutana na Yanga.

TF Rayon 1-3 Yanga.

Kombe la kwanza la wananchi kabatini

@usajili_na_hansrafael14

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Idea ipo, mimi bado nawashangaa wanaomponda kocha. Yanga ilicheza kwa identity moja mwanzo mwisho, hicho ni kitu kikubwa mno kwa timu. Kilichobaki maelewano uwanjani kwa hao maingizo mapya.
 
Back
Top Bottom