Uchambuzi wa dr. Lwaitama kuhusu sakata la Zitto na maamuzi ya kamati kuu ya CHADEMA

Lwaitama, nakufahamu vizuri sana. Wewe ni life failure, familia tu imekushinda. Wanao ni wavuta bange hadi wa kike, namfahamu yule teja niliyesoma naye pake udsm. Sasa utatueleza kipi kipya na cha maana? Poor you
jaribu kuwa na akili wewe! Masuala ya familia ya Lwaitam yanaingiaje hapa? Wewe familia yako nani anaijadili? Wakati mwingine sio lazima uchangie kila thread! Kwa hiyo ID yako unakidhalilisha sana chama chako!
 
Tatizo la wanasiasa wa tanzania wote ni njaa tu! Hamna cha chdema au ccm wote wezi tatizo ni kwamba wote wanagombea fursa ya kuwaibia watz. hivyo hivyo kwa mbowe na zito! Akina Lwaitama au Mkumbo lazima watafute upande wa kuwa nao ktk magenge haya mawili! La msingi kila mtz ajue mtaji wa maskini n i nguvu zake mwenyewe na si CCM au CDMA!
 
Malafyale;7915666]Hakika huyu Mzee ni PhD wa elimu ya Magharibi!Andiko lake hili nimelihifadhi sehemu nije kumuonyesha mwanangu Kaniki akifikisha miaka 18!

salut yuuuuu
 
Lwaitama, nakufahamu vizuri sana. Wewe ni life failure, familia tu imekushinda. Wanao ni wavuta bange hadi wa kike, namfahamu yule teja niliyesoma naye pake udsm. Sasa utatueleza kipi kipya na cha maana? Poor you

Hebu wewe ambaye siyo Life failure tueleze cha maana.
 
Yaani JF uadui na uozo uko CCM tu, Dr. Lwaitama ni maoni yake tu na mara zote anatabilika yuko upande gani. Na hii ndio tatizo la wasomi njaa wa kibongo hawawezi kusimama katikati kama wataalam.
Kama walaka ulikamatwa ukiwa raw sasa waliousambaza sio walioandaa, chama chenu kina ubaguzi mmekuwa mkiambiwa na viongozi wenu sio wabunifu ktk kuchukua hatua za kurekebisha wao ni kufukuza tu.
Waacheni wasiokuwa upande wenu nao watoe mawazo yao hata kama hamtaki kuyasikia.
Mnatumia nguvu kubwa kusema kama mlichokifanya ni sahihi kwa kuwa mmeshaamua kausheni sasa.Waliofutwa ndio zamu yao kulalamika,lwaitama anajibost tU hanalolote ni miongoni mwa mifano mibaya ya wasomi wa nchi hii. Prof Mpangala and etal at least Siasa ndio taaluma yao.
 
Tatizo la wanasiasa wa tanzania wote ni njaa tu! Hamna cha chdema au ccm wote wezi tatizo ni kwamba wote wanagombea fursa ya kuwaibia watz. hivyo hivyo kwa mbowe na zito! Akina Lwaitama au Mkumbo lazima watafute upande wa kuwa nao ktk magenge haya mawili! La msingi kila mtz ajue mtaji wa maskini n i nguvu zake mwenyewe na si CCM au CDMA!
Haya bwana! Ngoja na sisi tuelekeze nguvu zetu kwenye biashara ya meno ya tembo na 'sembe' kama mnavyofanya nyie wenzetu!
 
Atakuwa aliandika kwa jazba kidogo.. ila amejitahidi kunyambulisha mambo. The content is good!
 
Back
Top Bottom