Uchambuzi wa dr. Lwaitama kuhusu sakata la Zitto na maamuzi ya kamati kuu ya CHADEMA

Yes huyu ndiyo Dr. wa ukweli; ---- mmoja anaitwa Dr. Benson Bana Nimemsikia jioni hii kwenye BBC anasema fyongo kabisa.

Dr.Benson Bana vs Dr.Azaveli Lwaitama,sipat picha uwe mwanafunzi ambaye umefundishwa na hawa watu kwa kipindi ambacho unasoma UDSM,SIJUI UTAKUA MWANAFUNZ WA AINA GANI
 
Mtoto Wa Mbale Kudos Dr Lwaitama, muha wetu Zitto; hakukuelewa darasani enzi hizo; sasa endelea kumpa somo hapa JF; japo Zitto ana kichwa kigumu; lakini kwa kuwa yameanza kumkuta labda atazinduka!
Huyu kijana amejenga tabia ya shoot first; aim later; loose cannon per ce! God speed Zitto, CDM is poised to become a better party without the likes of you; selfish Zitto.
 
Last edited by a moderator:
Kwa wasio fahamu.Dr.Rwaitama ni mtu wa karibu sana na Zito na Dr.Kitila. Wana historia ndefu. Dr.Rwaitama ni 'mentor'wa Zito na Kitila toka siku nyingi tu. Kwa tunaokumbuka mijadala ya PAN AFRICANISM iliyokuwa ikifanyika pale UD na vyuo vingine(Zito akiwa mwanafunzi nami nilikuwa mwanafunzi wakati huo),tuliwaona Dr.Lwaitama,Prof.Haroub na
Prof.Shivji kama mababa kwa hawa vijana. Na hawa vijana walikuwa wanapendwa sana na hao magwiji hapo juu. Leo hii,kwa uchambuzi huu wa Dr.Lwaitama,nadhani ameona kweli something is wrong kwa vijana wake!
 
Unaongea vizuri sana ila umeunganisha sana jaribu kurekebisha ili waelewe wote
 
Dr.usiseme mengi wenye zetu timamu tulishamaliza kazi siku nyingi.

wale wenzetu wenye kuazima sacoss ndo wamebaki na vikauli kauli mara mkumbo hajamtaja,oooh fulani hausiki na wengine ushahidi umepikwa.

Zilizobakia ni propaganda tu, ukweli ndo huo.
Ombi langu kwa kamati kuu, safisha kenge hao kabisa msituletee habari ya kusamehe shetani wakubwa hao.hayana tofauti na vibaka wapigwao mawe na vibiriti mitaani.

Dr. Lweitama,you're so great......!!!
Hayo ni mashetani makubwa.
 
Kwa wasio fahamu.Dr.Rwaitama ni mtu wa karibu sana na Zito na Dr.Kitila. Wana historia ndefu. Dr.Rwaitama ni 'mentor'wa Zito na Kitila toka siku nyingi tu. Kwa tunaokumbuka mijadala ya PAN AFRICANISM iliyokuwa ikifanyika pale UD na vyuo vingine(Zito akiwa mwanafunzi nami nilikuwa mwanafunzi wakati huo),tuliwaona Dr.Lwaitama,Prof.Haroub na
Prof.Shivji kama mababa kwa hawa vijana. Na hawa vijana walikuwa wanapendwa sana na hao magwiji hapo juu. Leo hii,kwa uchambuzi huu wa Dr.Lwaitama,nadhani ameona kweli something is wrong kwa vijana wake!

Ni kweli mkuu wapo karibu sana naweza kulishuhudia hili. Nadhan ameheshimu formal logic
 
Najisikia fahari kua miongoni mwa wanafunzi wako,kweli huu ni uchambuzi tunduizi......nipe raha Lwaitama!
 
The doctor who has proved to be worth the title sio hao madaktari desa, rais wa DARUSO, sikuwahi kujua Mkumboooo wakati fulani anaakili finyu kama ile, finyu kushinda ufinyu wa akili unaokubalika kwa kada ya wasomi. Aibu na hongera sama Lwaitama.
 
Kuna hoja ikitolewa unapata hisia kuwa huyu ni Dokta anatoa hoja. Dokta Lwaitama umefanya analysis ya kisomi zaidi. Umeonesha thamani ya udaktari wako siyo hawa wengine wanajiita madaktari lakini argument zao kama za mtu wa standard seven. Napata mashaka na udaktari wa Kitilia.
 
Mkuu, maandiko yako yanatupa shida kidogo katika kuyasoma. umeunganisha sana sentesi, na pia hakuna paragraph.

Tafadhali rekebisha kidogo ili usomeke na wengi kwani hapa tunaelimishana.
Nashukuru kujua kuwa mkuu na wewe ni mmoja wa wavivu wa kusoma. Siku nyingine nitakuandikia uzi unaoendana na uwezo wako wa kusoma. Nilichozingatia zaidi ni hoja zilizomo na pengine ungekosoa hapo ndo ningekueelewa zaidi. Kumbuka tunatumia vifaa mbalimbali vya kuandikia ujumbe vingine havikupi fursa ya kuweka aya. Bila shaka umeelewa.
 
Back
Top Bottom