PSYCHOLOGY OF MONEY SWAHILI VERSION INAPATIKANA SASA.
Unahangaika na pesa? Unajiuliza kwa nini huna akiba, au kwa nini pesa zinaisha haraka bila kuelewa sababu? Tatizo si kwamba hufanyi kazi kwa bidii tatizo ni jinsi unavyofikiria kuhusu pesa.
Kitabu The Psychology of Money kinaeleza kwa lugha rahisi jinsi tabia na maamuzi yetu ya kifedha yanavyotufanya tukwame au tufaulu. Hiki si kitabu cha nadharia za benki bali ni mwongozo wa maisha halisi, unaokufundisha jinsi ya kutuliza akili yako kuhusu pesa, kupanga vizuri, na kujenga utajiri kwa utulivu. Ukikisoma, unaweza kubadilisha kabisa maisha yako ya kifedha kuanzia leo.