Uchambuzi: Je, kuna watu wanaamini Simba itashinda kule Egypt?

Labani og

JF-Expert Member
Sep 15, 2020
15,796
24,227
REKODI ZAIBEBA AL AHLY NYUMBANI, ZAIBANA SIMBA SC VIWANJA VYA UGENINI.

Rekodi ya Al Ahly ikiwa nyumbani ni nzuri kwani haijapoteza mchezo wowote tangu Mei mwaka jana katika michuano yote, ukiondoa kipigo cha 1-0 kutoka kwa USM Alger katika mechi ya CAF Super Cup ambao wao walikuwa wenyeji ila ikichezwa Uwanja wa usio na mwenyewe..

Mechi ya marudiano ya Al Ahly na Simba itapigwa Ijumaa ijayo jijini Cairo kuanzia saa 5:00 usiku kwa saa za Afrika Mashariki na mshindi wa jumla atatinga nusu fainali kuumana na mshindi wa robo fainali nyingine kati ya Esperance ya Tunisia na Asec Mimosas ya Ivory Coast zilizokuwa zikicheza jana usiku.

Pia Simba haina rekodi nzuri kwa mechi za ugenini za kimataifa, hasa Kwa waarabu

Kwani kwa msimu huu pekee katika mechi nne ilizocheza hadi kufika robo fainali, haikushinda hata moja zaidi ya kufungwa na
Je Al Ahly yupo tayari safari yake ya kwenda nusu fainali isitishwe na Simba Sc na kuandika rekodi ya kufungwa wakiwa kwao Misri ?!!!
Huu utakuwa ni wendawazimu kuamini Simba atatoboa
JamiiForums-1193138198_540x540.jpg

Tafsiri ya picha hapo juu

Kolo before match alijiamini ataenda mpasua Al ahly......
Unfortunately akakutana na kipigo ...hapo.baada ya kukandwa kolo alijifcha Kwa muda ./ Ailitokome

Then kolo wote wajiunga Kwa mamelodi Ili ashinde ..then u all know what real happened....
 
Simu zilikuwa na charge Ila hazikuwa na bando so hazikupigwa, kamwe badala yake walipigwa virungu na mabomu ya machozi

Ali Kamwe anajua kucheza na akili za
Shida ndogo ndogo kama hizo ....uwe unanicheki mkuu....Ili Niku finance
 
Simu zilikuwa na charge Ila hazikuwa na bando so hazikupigwa, kamwe badala yake walipigwa virungu na mabomu ya machozi

Ali Kamwe anajua kucheza na akili za
Ukiweka ushabiki maandazi kiuhalisia Utopolo na Makolokolo wameshatoka ila sababu mpira hudunda kwa matokeo ya aina 3, tuwe na akiba za maneno.

Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
REKODI ZAIBEBA AL AHLY NYUMBANI, ZAIBANA SIMBA SC VIWANJA VYA UGENINI.

Rekodi ya Al Ahly ikiwa nyumbani ni nzuri kwani haijapoteza mchezo wowote tangu Mei mwaka jana katika michuano yote, ukiondoa kipigo cha 1-0 kutoka kwa USM Alger katika mechi ya CAF Super Cup ambao wao walikuwa wenyeji ila ikichezwa Uwanja wa usio na mwenyewe..

Mechi ya marudiano ya Al Ahly na Simba itapigwa Ijumaa ijayo jijini Cairo kuanzia saa 5:00 usiku kwa saa za Afrika Mashariki na mshindi wa jumla atatinga nusu fainali kuumana na mshindi wa robo fainali nyingine kati ya Esperance ya Tunisia na Asec Mimosas ya Ivory Coast zilizokuwa zikicheza jana usiku.

Pia Simba haina rekodi nzuri kwa mechi za ugenini za kimataifa, hasa Kwa waarabu

Kwani kwa msimu huu pekee katika mechi nne ilizocheza hadi kufika robo fainali, haikushinda hata moja zaidi ya kufungwa na
Je Al Ahly yupo tayari safari yake ya kwenda nusu fainali isitishwe na Simba Sc na kuandika rekodi ya kufungwa wakiwa kwao Misri ?!!!
Huu utakuwa ni wendawazimu kuamini Simba atatoboaView attachment 2951227

Tafsiri ya picha hapo juu

Kolo before match alijiamini ataenda mpasua Al ahly......
Unfortunately akakutana na kipigo ....

Then kolo wote wajiunga Kwa mamelodi Ili ashinde ..then u all know what real happened....
Unatoa hoja/swali alafu unajijibu mwenyewe. Waswahili tukiamka na hangover tuna shida sana
 
Mkiongea kiushabik sawa mnashinda,,

Lakin baada ya game lawama kwa kocha,wachezaji ama kwa refa,,
Huwa mnasahau ni binadam pia,

Ila yote kwa yote tusubiri tujionee,
Utawaambia nn au Utaandika nn hyo cku 😂
 
Back
Top Bottom