Uchakachuzi bando za airtel

Joined
Jul 4, 2017
Posts
22
Reaction score
4
Leo ni siku mbaya nishazoea kujiunga sh 500 dk 60 na 1.2gb bt Leo wanasema invalid services. Cjui kwa nn
 
Labda matatizo ya mtandao mkuu
 
Sasa hapo uchakachuzi upo wap? Kwan wamechukua hela yako?
 
kuna kifurushi cha 1500 dk 145 airtel_airtel na dk5 mitandao yote kwa siku7 Leo imegoma sijui kwa nini airtel wanazingua sana
 
Unaijua maana ya ofa kweli?
 
Nadhani kuna mabadiliko ya vifurushi yanakuja si wame introduce vocha ya Tshs 200
 
Itakuwa ni tatizo la mtandao,mi hata nikipiga menu yao haikubali tangu mornie
 
hata mm nimejaribu kujiunga wananiambia nijiunge kupitia airtel money.
 
kuna kifurushi cha 1500 dk 145 airtel_airtel na dk5 mitandao yote kwa siku7 Leo imegoma sijui kwa nini airtel wanazingua sana
Me nimejaribu zaidi ya mara 5 leo ikawa inazingua.. ila nikawa mbishi, nikaebdelea kujaribu ikakubali... ni ratizo tu la mtandao
 
kuna kifurushi cha 1500 dk 145 airtel_airtel na dk5 mitandao yote kwa siku7 Leo imegoma sijui kwa nini airtel wanazingua sana
Me nimejaribu zaidi ya mara 5 leo ikawa inazingua.. ila nikawa mbishi, nikaendelea kujaribu ikakubali... ni ratizo tu la mtandao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…