Kwanza naomba msamaha kwa wana JF kwa kuwa hii thread ni siku nyingi toka decemba 2013, ila kuna watu pamoja na mimi mwenyewe tupo njiani kuja huko immigration, swali je baada ya kuchakachuliwa uliitwa tena na umeeanza kazi? je maswali yao yakoje au ndo yale tanzania kusini imepakana n nnani? je kama ulifanikiwa kuchaguliwa HONGERA SANA YAKHE, tunaomba ututhibitishie wale ambao tupo njiani kuja huko depo linachukua muda gani na mnafanyia wapi moshi au mbeya na je kuna allawance yoyote mnapewa mpokuwa depo
ni hayo tu yakhe mwenzangu mimi nawakisilisha kwa niamba ya wenzangu ikiwezekana na wao watauliza ya kwao tunaomba ushirikiano wako nipo mtaani tu napiga cha ndimu na madogo