Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 57,103
- 128,722
Wanabodi
Mungu na Shetani
Hiii ni moja ya Mada zangu za holistic approach zinazotumia dhana dhanifu ya Mungu na shetani
Mimi ni Mkristu Mkatoliki,kwa kawaida huwa nasali misa ya kwanza,ila kwa vile leo ni sikukuu ya Jumapili ya Matawi,mwanzo wa Juma Takatifu,Mwokozi wetu Bwana wetu Yesu Kristu,leo anaingia Yerusalemu,Misa ya pili kwenye parokia yangu,itaandamana na maandamano,hivyo na mimi nitasali misa ya pili ili niandamane。
Hivyo siku ya leo naianzia jf,kwa muendelezo wa yale maswali yangu ya holistic approach kuhusu chaguzi zetu。
Swali ni uchaguzi wetu ni uchaguzi wa ki Mungu au ni uchaguzi wa kishetani?. Uchaguzi wa ki Mungu,una Umungu。ndani yake watu wote wanaoshiriki wanakuwa treated equally and the same treatment to all。Uwanja wa ushindani ni level playing ground na unachezeshwa na marefa watenda haki wasioegemea upande wowote!
Uchaguzi wa kishetani,una Ushetani ndani yake!. ni uchaguzi usio huru na wa haki,unaochezwa kwenye uwanja tenge,wenye marefa wanaopendelea upande mmoja!。
Mtu anayetaka kuuzuia uchaguzi wa Kimungu kwa kukinukisha,ni anafanya kazi ya shetani, ni Shetani! ila kama uchaguzi wetu sio huru na wa haki,then sio uchaguzi wa ki Mungu,ni uchaguzi wa kishetani,mtu anaye taka kuuzuia uchaguzi wa kishetani kwa kukinukisha,mtu huyo afanya kazi ya Mungu!
Sio mara moja au marambili,watu wafanyao kazi ya Mungu kuwa persecuted kwa kutupwa magerezani kama Paulo na Sila,Shadrack,Meshaki na Abednego,na wengine hata kuuwawa kwa vifo vya mateso kwa kusulubiwa msalabani,ila ni kwa kuteswa kwake, sisi tuna ponywa!。
Bwana wetu Yesu Kristo,hakuwa na kosa lolote,lakini aliteswa na kuwambwa msalabani hadi kifo,lakini siku ya tatu alifufuka katika wafu,akapaa mbinguni,toka huko atakuja tena kwa utukufu kuja kuwahukumu wazima na wafu,nao ufalme wake haitakuwa na mwisho!。
Vipi chaguzi zetu Tanzania,ni chaguzi za kiMungu au za kishetani?
Vipi kumhusu huyu anayetaka kusimamisha uchaguzi kwa kukinukisha hadi uchaguzi usifanyike,afanya kazi ya Mungu au ya shetani?
Kama ni kazi ya Mungu,je Mungu ataingilia kati au atamuacha asulubishwe kama Masiha?,ndipo kisha atupatie ukombozi?。
Nawatakia dominika njema ya Jumapili ya matawi。
Paskali。