Uchaguzi wa viongozi CHADEMA jimbo la Temeke

Uchaguzi wa viongozi CHADEMA jimbo la Temeke

CCM hawataki kusikia yule mamluki wao aliyejiteka akipigwa chini rasmi! Ameshakula hela zaô nyingi sana!

Poor Yona!
alaa kumbe ni huyu eee - duh kweli watu ni makauzu hapa duniani, yaani kufikia hatua ya kukodi jamaa zako wakukongori then eti asingizie kwamba ni CDM ili ulipwe kitu kidogo, eee njaa zinazidiana kipimo!!.
 
Uchaguzi wa viongozi CHADEMA jimbo la Temeke tarehe 27/07/2014 siku ya Jumapili CCM wajipanga kufanya vurugu kwa kutumia mamluki ndani ya chama.

Hawatafanikiwa hata kwa chembe, walijitahidi kumtumia Yona mwishowe maccm kupitia wakala wake act wakajiteka
 
Wawekeni watu ... ili tukiitisha baraza kuu kubariki kukanyofoa kale kakipengele cha ukomo wa uongozi iwe rahisi..Tufanye uchaguzi
 
Uchaguzi wa viongozi CHADEMA jimbo la Temeke tarehe 27/07/2014 siku ya Jumapili CCM wajipanga kufanya vurugu kwa kutumia mamluki ndani ya chama.
mapema umeanza kutafuta excuse. hii ni aibu.
 
ataondoka na wengi sana, YONA siyo wa kubeza acheni lugha nyepesi nyepesi hizo zitawagharimu.

Yona huyu huyu aondoke na watu we ye akili zao? ikitokea hivyo nitahamia Malawi, Zambia au Siera Leone kabisa ijulikane sina nchi!
 
Wawekeni watu ... ili tukiitisha baraza kuu kubariki kukanyofoa kale kakipengele cha ukomo wa uongozi iwe rahisi..Tufanye uchaguzi
Hayo wanafanyaga ccm chamwino kuhonga wanawake chooni ila sio chadema
 
Back
Top Bottom