Uchaguzi wa viongozi CHADEMA jimbo la Temeke

Uchaguzi wa viongozi CHADEMA jimbo la Temeke

Joined
Feb 28, 2014
Posts
16
Reaction score
3
Uongozi Wa CHADEMA Taifa,Kanda,Mko a Na Jimbo La TEMEKE,

Unawataharifu Wanachama Wote Wa CHADEMA Jimbo La TEMEKE Kuwa Tar 27/07/2014 JIMBO LA TEMEKE Litafanya Uchaguzi Ngazi Ya Jimbo,Fomu Zitahaza Kutolewa Jumatatu Ya 14/07/2014 Saa 4 Asubui Ofisi Ya Jimbo Mwembe Yanga na Mwisho wa Kurudisha Fomu ni Ijumaa ya 18/07/2014.

WANACHAMA WOTE JIMBO LA TEMEKE NA VIONGOZI WA KATA ZOTE MNAOMBWA KUMIMINIKA KWA WINGI KUCHUKUA FOMU HILI TWENDE TUKAIJENGE TEMEKE ILE TUNAYOITAKA.... . Aluta Continua ..!!

By ;

Kurugenzi Ya Habari Temeke,

M4C Jimbo La Temeke,

TanzData wa Jimbo la Temeke,

Simu No; 0717313186.
 
Chaguzi inayosubiriwa ni ile inayoleta utata kila mtu anapotaka kuwania,yaani zile mbili.hivi vichaguzi vingine ni bure.
 
safi wakuu! in CHADEMA we Trust Kwani kuna gharama kama wanavyofanya masisim form ya Wilaya inanunuliwa 500,000?
 
Chaguzi inayosubiriwa ni ile inayoleta utata kila mtu anapotaka kuwania,yaani zile mbili.hivi vichaguzi vingine ni bure.

Hakuna porojo kama hizo cdm,wanafiki na mamluki wote lazima waondoke na tutahakikisha chaguzi zote za wilaya haziwaachi salama.Tunataka CDM moja yenye wajibu na malengo ya kumwondoa shetwani ccm tu
 
Uchaguzi wa viongozi CHADEMA jimbo la Temeke tarehe 27/07/2014 siku ya Jumapili CCM wajipanga kufanya vurugu kwa kutumia mamluki ndani ya chama.
 
CCM hawataki kusikia yule mamluki wao aliyejiteka akipigwa chini rasmi! Ameshakula hela zaô nyingi sana!

Poor Yona!
 
Uchaguzi wa viongozi Chadema jimbo la temeke tarehe 27/07/2014 siku ya jumapili ccm wajipanga kufanya vurugu kwa kutumia mamluki ndani ya chama tumejipanga tupo imara

jikanyageni wenyewe, msitafute mchawi CCM.
 
CCM hawataki kusikia yule mamluki wao aliyejiteka akipigwa chini rasmi! Ameshakula hela zaô nyingi sana!

Poor Yona!
ataondoka na wengi sana, YONA siyo wa kubeza acheni lugha nyepesi nyepesi hizo zitawagharimu.
 
ataondoka na wengi sana, YONA siyo wa kubeza acheni lugha nyepesi nyepesi hizo zitawagharimu.

kwakua mumemwezesha kwa kitita cha kutosha ndio maana lakini kumbukeni mnapambana na mpango wa Mungu mtashindwa tu
 
ataondoka na wengi sana, YONA siyo wa kubeza acheni lugha nyepesi nyepesi hizo zitawagharimu.

CybercrimeLABDA KAMA YONA NI MAARUFU KULIKO UNAYEMFUTA ZZK

LAKINI KAMA ZZK NI MAARUFU KULIKO YONA, BASI BASI WOTE HAO WAWILI SI LOLOTE MBELE YA CHADEMA
MSOME ZZK UNAYEMFUTA NA KUMUAMINI....HII ILIKUWA 2009 LABDA ULIKUWA HAUJAZALIWA JF

"...CHADEMA ndiyo imenipa umaarufu mimi… mimi si maarufu kuliko chama. CHADEMA ni taasisi, ni chama ambacho kina misingi ya uanzishwaji wake.

"…(Wanasema) eti nilishinda kwa umaarufu wangu binafsi, si kweli. Niligombea ubunge nikitokea shule, sikuwa najulikana. Nilikuta ‘grassroots network' ya chama, (chama) hakikujengwa na mimi.

"CHADEMA ilijengwa na uongozi uliokuwepo, nilikuta uongozi ‘intact' (imara).Katika kila kijiji kulikuwa na uongozi na hata katika vitongoji vyote. Wakati naingia kugombea ubunge kulikuwa na wanachama wa CHADEMA wenye kadi wanaofikia 10,800 katika jimbo zima. Hawa sikuwatafuta mimi, niliwakuta na ndio waliofanikisha ushindi wangu.

"...Katika mazingira kama haya utasemaje kuwa mimi ni maarufu kuliko chama wakati chama ndicho kimenipa umaarufu?

;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;
Nakushauri bure tu, washauri na wenzako wote dizaini zako na wakina Yona, wakina Zitto, et al... Waambie kuwa si lazima wawe wanachama wa Chadema vyama vipo vingi.....


 
ataondoka na wengi sana, YONA siyo wa kubeza acheni lugha nyepesi nyepesi hizo zitawagharimu.

Ataondoka na wachumia tumbo wenzake,hivi hujiulizi kuwa,kama wapo hao wafuasi wake wanasubiri nini CDM? CDM si chama cha kufuga wachumia tumbo,wachumia tumbo wapo ccm au kwenye tawi lao la act huko ndipo panapowafaa
 
ataondoka na wengi sana, YONA siyo wa kubeza acheni lugha nyepesi nyepesi hizo zitawagharimu.

Ameifanyia nini CDM katika kipindi chake cha uongozi zaidi ya kuihujumu kwa maslahi ya tumbo lake na waliomtuma? Ana hata mbunge au madiwani wa kujisifu? Kadumaza chama kwa njaa zake bora uje uongozi mpya wenye kutambua na kufanyia kazi malengo ya chama.Nawatakia kila la kheri makamanda wote mliopo huko katika kuchagua viongozi wenu!
 
Back
Top Bottom