Me I and my self
JF-Expert Member
- Sep 16, 2016
- 4,084
- 8,861
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Matumaini yetu tunashinda kwa kishindo hata kwa bao la mkono[emoji1]
**Team Trump**
Wataendeleeeaaa Sana'a kutupokeaaa airportHayawi hayawi sasa yamekuwa.
Leo ndo leo na asiye na mwana aeleke jiwe.
Leo ndo siku pekee ambapo dunia nzima husimama kuzunguka kwenye mhimili wake hadi hapo uchaguzi wa taifa bora kabisa katika historia ya uhai.
Hata wale wanaojifanya kuiponda USA leo wataacha kufanya yao yote na kutega masikio na macho yao kusikilizia na kuona nani atachinjwa na vichinjio vya Wamarekani.
USA ndo dunia na dunia ndo USA. Hilo halina mjadala.
USA baby View attachment 430983 View attachment 430984 View attachment 430985
Wataendeleeeaaa Sana'a kutupokeaaa airport
Mpwaaa mwagaa dataaa atulaliiii hatawaleee wanafikiii wanakupndaaa ati wanataka niwaruhie matokeooTayari fununu za exit polls zishaanza kuingia na Hillary yuko juu PA.
Trump yuko juu GA [so much for GA being in play], AZ, IA, NC, na OH.
Colorado, Florida, Michigan, na Nevada ni mchuano mkali...too close to call thus far.
Mpwaaa mwagaa dataaa atulaliiii hatawaleee wanafikiii wanakupndaaa ati wanataka niwaruhie matokeoo
Usaaaaaaaa bybbb alafu mwaa ongezea heading results wajekuheshimu whyyy tuuliuza vitz mkaenda ukoo leoo tunatembelea....... (watatuloga ngojanseme polepoleeMpwa...USA baby.
N everUSA baby...greatest country ever.
Siasa za ssc Vs ysctrump mpge chini huyo mama
Mpwaaa ujapigaaa bad auuko kwawakweewGood for you.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Siasa za ssc Vs ysc
[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23][emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Aah
Ila tukishindwa itakuwa shidaaa
*vote for Trump*
Hongera sana Team member[emoji1] [emoji1][emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Aah
Ila tukishindwa itakuwa shidaaa
*vote for Trump*
HahahaHongera sana Team member[emoji1] [emoji1]
Tupongezane mkuu, sio siku zote tunatofautiana mawazo.
*Donald Trump elected U.S President