Habari
Hivi nashindwa kuelewa nini kiini cha haya yote kwamba Jimbo la Iringa mjini kata ya nduli kuna uchaguzi wa udiwani tarehe 09/01/2014 lakini kinachonifurahisha ni kwamba, CHADEMA wanatumia nguvu kubwa sana kufanya kampeni hizo utadhani ni uchaguzi wa mbunge.
Yaani makamanda wote wa chama kuanzia Mhe. Dr. Slaa, Halima Mdee Sugu, na Mbowe wote wametia timu Iringa kuongeza nguvu kwenye uchaguzi wa udiwani.
Hebu mnisaidie hivi kuna effect yoyote kwa diwani kupita wa chama fulani au kutopita hasa ukizingatia muda wenyewe wa kufikia uchaguzi ujao umekaribia??