Geoffrey Nyange 'Kaburu' ameshinda
Umakamu wa Rais Simba SC, akimshindea
mpinzani wake wa karibu Jamhuri Mussa
Kihwelo na Swedi Nkwabi. Hata hivyo, hizo ni
taarifa za awali, matokeo kamili yatatangazwa
na Kamati ya Uchaguzi baadaye.
kulikuwa hakuna siri kabisa,watu walipewa karatasi za kupigia kura ukumbini na kukaa nazo, kujadiliana nani wa kumpigia kura, ile dhana ya uchaguzi kuwa ni secret ballot haiukwepo kabisa! watu walishawishiana nani wa kumpigia