Bila shaka kila Mtanzania wa leo anaguswa na machungu mbalimbali yanayotokana na ULEGEVU wa Viongozi wetu waliopo sasa.
Mbaya zaidi, Wabunge waliotakiwa kutusemea na kututetea sisi Wapigaji kura wao, wametugeuka na wameungana na watawala.
Kwa hiyo sasa, Wabunge badala ya kututetea sisi Wapigaji kura wao, wanaitetea Serikali zaidi.
Kwa udhaifu huo, Serikali inafanya inachoweza kwa sababu hakuna wa kuikemea.
Hatma ya haya yote ni Uchaguzi wa mwaka 2025.
Hapo Tanzania utaandika Historia mpya kabisa.
Hatuwezi kuendelea na hali hii.
Kila Mbunge atakayegombea tena 2025, lazima kwanza aeleze amefanya nini katika kipindi cha miaka mitano iliyopita?
TOZO zimejaa kila kona, je, yeye kama Mbunge alifanya jitihada gani kuzuia uhalifu huo?