Uchaguzi wa 'muhula wa kati' Marekani waanza!

Uchaguzi wa 'muhula wa kati' Marekani waanza!

TUJITEGEMEE

Platinum Member
Joined
Nov 6, 2010
Posts
27,685
Reaction score
28,802
Uchaguzi wa Muhula wa kati huko Marekani umeanza huku nchi hiyo ikiwa imegubikwa na 'kutoelewana kubaya kabisa' kwa wananchi wa nchi hiyo katika milengo ya vyama vyao. Zaidi fuatilia link hapa chini na mitandao mingine.
====
Follow the latest news and reactions as Americans cast their votes amid societal divisions over the president’s policies, and in the aftermath of scandal-filled midterm campaigns.
Republicans are vying to keep control over the Congress and Senate, as Democrats hope for a ‘blue wave’ comeback.
All 435 seats in the House of Representatives, as well as 35 out of 100 seats in the Senate are up for grabs. Governors may change in 36 states following the election.

US midterm elections kick off as country polarized along party lines (WATCH LIVE)
 
Follow the latest news and reactions as Americans cast their votes amid societal divisions over the president’s policies, and in the aftermath of scandal-filled midterm campaigns.
Republicans are vying to keep control over the Congress and Senate, as Democrats hope for a ‘blue wave’ comeback.
All 435 seats in the House of Representatives, as well as 35 out of 100 seats in the Senate are up for grabs. Governors may change in 36 states following the election.
CNN.com
====
Here's why it might be harder for you to vote today
Lawmakers throughout the country have implemented stricter voting laws. Some argue its voter suppression, others say it stops voting fraud.
CNN.com
--------
My takes
-----
Na bado mnasema huko kunademokrasia ya kutukuka...na uhuru na haki. Lakini bado kuna malalamiko kwa wabunge wa nchi ya Marekani kutunga sheria inayozuia uhuru na haki katika uchaguzi. Hapa wale 'jamaa' zangu watapita kimya kimya. Na habari hii nimeipata kwenye chanzo chao pendwa cha habari.
 
Naona Obama alikomaa sana kwenye kampen za mwisho, ila akubali tu kwamba kama alishindwa fanya yake kwenye kipindi cha miaka 8 amwachie Mwanaume Kwa sasa, hakuna mabadiliko pale,,Dem watulie tuu
 
Naona Obama alikomaa sana kwenye kampen za mwisho, ila akubali tu kwamba kama alishindwa fanya yake kwenye kipindi cha miaka 8 amwachie Mwanaume Kwa sasa, hakuna mabadiliko pale,,Dem watulie tuu

Hahah!, tulia kwanza GS.

The 'LATEST' time as of now, as people going to the polls is 10:53am. 🙂
 
...

The 'LATEST' time as of now, as people going to the polls is 10:53am. 🙂
Mkuu, Nalendwa, kwa heshima kubwa kabisa, ninakuomba baada ya matokeo ya uchaguzi huu wa 'muhula wa Marekani urudi tena hapa jukwaani kutoa mrejesho na tathmini ya uchaguzi huo. Natanguliza shukrani.
 
1541521179408.png

Hivi Democrat...hiyo nembo ni ya mnyama gani? (Picha upande wa kushoto)
 
1541522695714.png

Stakes high as US votes in mid-terms
Live updates as millions of Americans head to vote in a poll widely seen as a referendum on the Trump presidency.
BBC.com.
====
Mbona hawatwambii waliojiandikisha wangapi kwa ajiri ya uchaguzi huu? Na wanaotarajia kushiriki ? US inasifika kwa kuweka takwimu wazi. Unakuwaje wanatuficha
 
View attachment 923805

Mpaka jana, 31 million walikuwa wame vote. Early Voting.
Lakini this Midterms inaonekana wengi zaidi wata vote. 2014 only about 26 mil walifanya early vote.

It's high stake kwa kweli.
Inaonekana people are sending a message.
 
Yule jamaa anaitwa Andrew Gillum namakubali sana sana hope atashinda ugavana Florida. Anaweza vaa viatu vya Obama yule jamaa
 
"..The election was very much about President Donald Trump, as many voters cast their ballot specifically to oppose or support him. Similarly, reviews of his agenda and his accomplishments were mixed. About half of voters said that Trump's immigration policies are too tough, while around a third think they're just right and few, only about 15%, think he's not tough enough, according to preliminary results from CNN's national exit polls.." ~ LA times.
 
Uchaguzi uligubikwa na kasoro nyingi katika maeneo mengi. Vifaa vilishindwa kufanya kazi mfano New York City.
====
American midterm elections are normally sleepy affairs, but 2018's hyper-partisan atmosphere has voters turning out in record numbers. Polling places were unprepared for the onslaught and machines broke down all over the country.
In New York City, broken and jammed machines thwarted thousands of voters from Brooklyn to the Upper East Side and the Bronx, leaving voters lined up waiting in the rain – where they made matters worse by getting the ballots wet, according to Board of Elections rep Michael Ryan. Poll watchers were shocked at the dysfunction and NYC Council Speaker Corey Johnson demanded Ryan's resignation, calling the mess “unacceptable and unfair to voters.”
_ _ _
RT.com
All over US, polling places freeze when faced with the unexpected: voters
 
Texas voters had a similar experience last week. Voting machines reverted to Republican Ted Cruz when people attempted to vote for Democrat Beto O'Rourke, or to no candidate at all when they tried to vote for Cruz. Around the same time, the Georgia NAACP claimed they were experiencing similar issues with their gubernatorial candidates.
===
Hii ingetokea kwenye nchi zinazokua kiuchumi kama Tanzania, maneno kibao ya hujuma kwa tume kupendelea chama fulani yangefumuka kutoka kwa baadhi ya watu fulani na nchi nyingine ambazo kudharau nchi zetu hizi ni jadi yao.
 
Nadhan tumecopy demokraisa nusu, ndo maana inatusumbua

Tuanze kuwa na hizi mid term election pia.

Infact ni kama tumekuwa nazo kwa jina la chaguz ndogo ndogo, but nadhan wakat ufike tu pitishe kabisa
 
Back
Top Bottom