baharia Ar
JF-Expert Member
- Dec 1, 2013
- 837
- 316
Fyeken nanyie mtaja fyekwa coz hakuna jiwe litakalo salia juu ya jiwe.nuswala la muda tuNyie toeni stress zenu mitandaoni sie tunachaguana tu
Mnawafanya watu wajinga,mlipokua na ukawa mlizoa mitaa mingi kwa sheria hizi hizi za Tamisemi,leo hamna ukawa hamna cha kuwaambia wananchi,mnakimbilia kubeza uchaguzi mitandaoni,sie tunafyeka tu
Ukimsusia panya kumwekea sumu sio kwamba yy atakususia kutafuna chupi zako.utajikuta unatembea matako wazi.tutumie akili zetu vizur zinaweza kutuvusha kukata tamaa ni dhambiSiwez kupiga Kura Kwa style hii
Endelea kuotaFyeken nanyie mtaja fyekwa coz hakuna jiwe litakalo salia juu ya jiwe.nuswala la muda tu
Mahakama kwa kweli imekuwa dampo la waiz wa katibaMahakama itasema Ni kutengeneza mgogoro Na bunge....
Asante Kwa ushauri Mkuu nimekuelewaUkimsusia panya kumwekea sumu sio kwamba yy atakususia kutafuna chupi zako.utajikuta unatembea matako wazi.tutumie akili zetu vizur zinaweza kutuvusha kukata tamaa ni dhambi
Kuna mzee mmoja aliwahi kusema kwamba kuongoza watanzania ni sawa na kuongoza wafu. Yaani watanzania wamepooza kama maji mtungini.Wajue tu kuwa Watanzania si wajinga
Iko siku wataamka na hiyo siku inakaribiaKuna mzee mmoja aliwahi kusema kwamba kuongoza watanzania ni sawa na kuongoza wafu. Yaani watanzania wamepooza kama maji mtungini.
Kumbe hii sheria inayompatia mamlaka Waziri wa Tamisemi kusimamia uchaguzi siyo mpya? Nilidhani ni sheria mpya kumbe akina Waitara walishinda uenyekiti wa serikali ya mtaa kwa sheria hii hii wakati wakiwa CHADEMA!!Nyie toeni stress zenu mitandaoni sie tunachaguana tu
Mnawafanya watu wajinga,mlipokua na ukawa mlizoa mitaa mingi kwa sheria hizi hizi za Tamisemi,leo hamna ukawa hamna cha kuwaambia wananchi,mnakimbilia kubeza uchaguzi mitandaoni,sie tunafyeka tu
Chadema.ni wasanii tu na waongo wakubwaKumbe hii sheria inayompatia mamlaka Waziri wa Tamisemi kusimamia uchaguzi siyo mpya? Nilidhani ni sheria mpya kumbe akina Waitara walishinda uenyekiti wa serikali ya mtaa kwa sheria hii hii wakati wakiwa CHADEMA!!
Pambana na maisha ya wadogo zako ambao umewadhurumu Mali za urithi kwa tamaa zako mbayaYaani Waziri wa Tamisemi ndio mkuu wa uchaguzi? Nashauri wanaharakati wapenda haki twendeni Mahakamani tukazuie uchaguzi huu unaokwenda kumwaga damu za watu,kwakuwa tume huru iko Mahakamani sasa ni muda uchaguzi huu wa Serikali mitaa ukazuiwe Mahakaman hadi pale utakapokuwa huru.
Plz wasomi tuokoenI kwa hili msiwe vichwa mizigo.Uchaguzi huu kama utafanyika chini ya Mbunge wa CCM yaani Waziri wa Tamisemi tusitegemee haki kutendeka sana sana itakuwa ni kuwachosha tu wapiga kura.
Tume sio huru na huu wa mitaa sio huru.
Naomba kutoa hoja