Uchaguzi wa Malawi kufanyika leo

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,618
Reaction score
9,610
MALAWI: Leo Mei 21, wananchi wa Malawi wanapiga kura kuchagua Rais na Wabunge katika Uchaguzi Mkuu wa nchi hiyo

Takribani watu milioni 7 wamejiandikisha kwa ajili ya kupiga kura

Washindani wakubwa kwenye kiti cha Urais ni Rais wa sasa, Profesa Mutharika ambaye anachuana na aliyekuwa Makamu wake Dkt. Saulos Chilima
 
Malawi ni nchi maskini sana lakini wana democrasia ya kweli kuliko hata nchi zilizoendelea.
 
Chilima huyu huyu wa miaka ile au chilima mtoto
 
... sisi hapa always uchaguzi Mkuu ni Jumapili wakati duniani kote hufanya chaguzi zao siku neutral hususan isiyokuwa ya ibada kwa madhehebu yoyote! Sijui chama letu lina uchawi gani na hii siku kwenye issues za general election! Bob Wangwe na Shangazi hebu ombeni tafasiri ya hii kitu maana dah!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…