Napenda kuwajulisha kuwa mgombea wa CCM kata ya themi niliemjua kwajina moja la Victer leo alikuwa anagawarushwa waziwazi katika ofisi ya CCM iliyoko maeneo ya kambini.
Ameandikisha majina ya akinamama mitaani kwa kutumia wamama fulani mmoja ni muumini wa kanisa la RC na mwingine ni muumini wa dhehebu la Kisabato wamama hawa wawili walipita mtaani wakiandikisha majina ya akina mama wenzao akiweko mke wangu na leo ndio wameitwa kugawiwa pesa ili wamchague.
Ushauri
Napenda kuwashauri wamama wote waliochukua rushwa hiyo ya sh 2,268.60 wasidanganyike kumpa huyo kijana udiwani maana kama alikuwa mzuri na anajiamini ni kiongozi anaefaa kwanini atoe rushwa na mkiona kiongozi anaetaka madaraka kwa kutoa rushwa huyo hafai pia nawasikitikia mama zangu kweli mtu anaweza kukudanganya ukauza utu wako kwa sh2,268.60? Najua wengi watauliza nimepata wapi figa hiyo mchanganuo ni kwamba wamama walikuwa 46 jamaa akatoa sh1,05000