DALLAI LAMA
JF-Expert Member
- Jan 31, 2012
- 8,652
- 2,642
Wanajamvi
Leo ndio leo asiye na mwana aeleke mtungi,ule uchaguzi wa Chadema wilaya ya Arusha KITOVU CHA MABADILIKO UNAFANYIKA HOTEL MANOR SAKINA.
Mungi,Crushwise,Ganjaplanter,Kitu Kizito,Liverpoolfc,Arushaone,Yegella Tunaomba mmiminike jukwaani.
Uchaguzi huu umekuwa na mvuto kutokana na ukweli kuwa Chadema ina historia ya pekee kwa watu wa Arusha.
Kamanda Dalai lama utatusaidia kutupia update, mimi leo nitakuwa napokea update kutokea machame. Nipo nje ya Arusha leo
update tafadhal anza na majina ya wagombea
Kamanda Dalai lama utatusaidia kutupia update, mimi leo nitakuwa napokea update kutokea machame. Nipo nje ya Arusha leo
Wamachame mko wengi kweli chadema?? Umenikimbia nini mkuu??Kamanda Dalai lama utatusaidia kutupia update, mimi leo nitakuwa napokea update kutokea machame. Nipo nje ya Arusha leo
Wasalimie huko nyumbani.
Hivi kwanini chaguzi za chadema zinafanyikia Bar???
Lete lete updates. Nchi nzima macho yote ni hapo. Maana arusha ni chanzo n kitovu cha badiliko kama ilihvyo kitovu cha utalii