PostGE2025 Uchaguzi umekataliwa hadi na SADC, AU halafu umeripotiwa kote Duniani kuwa umeua maelfu then unaomba sympathy EU? Na bado

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Lord Denning

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2015
Posts
23,494
Reaction score
57,869
Hata kabla ya Uchaguzi, Bunge la Umoja wa Ulaya lilikuzungumzia sana namna unavyoteka na kupoteza watu.

Ulivyo na kiburi uliwapuuza. Ukazidi kuwateka, kuwafira, kuwaua na kuwafungulia kesi za Uongo Watanganyika.

Ukamkamata mwenyekiti wa Chadema wakakuambia muachie ukasema wewe hupangiwi. Ukakizuia Chama chake kufanya siasa wakakwambia kifungulie ukasema wewe nchi huru hupangiwi.

Ukawazuia hadi Madalali wako ACT kugombea Urais wakakusema ukaleta kiburi. Sasa wameanza kukuchukulia hatua unalalamika nini?

Wazungu ni watu wastaarabu sana. Uzuri kabla hawajakuchukulia hatua uwa wanakupa ushirikiano wa kila namna. Wanakuonya kwenye kila hatua. Na inapofika hatua ya kukuchukulia adhabu pia wanakwambia.

Umefanya uchaguzi ambao hadi wasimamizi wa Afrika ambao siku zote wanajulikana kuwabeba waafrika wenzao wamekukataa. Wamesema uchaguzi haukuwa huru na wa haki. Mbaya zaidi ukaua maelfu ya watu na sasa Dunia nzima inataka uwajibishwe.

Kwa tulipofika hakuna namna mnaweza chomoka kuanzia wewe mwenyewe Samia na watu wako DGIS, IGP na CDF.

Mjadala wa Bunge la EU sio tu utaenda kuwaambia Nchi wanachama wasitoe fedha zao kwa Tanzania bali unaenda pia kuwaambia rasmi ICC wawachukulie hatua kali nyie mliua Watanganyika kikatili sana.


Hamuwezi kumwaga damu za Watanganyika namna hii na mkabaki salama.

Tukutane ICC
 
Kahaba na Rostam azizi ni wapumbavu sana...viongozi waislamu ni laana kwa taifa
..malezi ya waislamu yana walakini mkubwa, yanafundisha kutojali watu na hasa wa imani zingine, pili yanafunza ukatili, ujeuri, kiburi, majivuno, anasa na dharau..kwa hali yoyote ile kelele zilizopigwa kabla ya uchaguzi, kwa mtu alielelewa vyema kiimani, lazima angechukua hatua ya kutogombea ili hali iwe salama yeye asiwe sababu ya vifo km ilivyotokea na viongozi wake wa imani wangeweza hata kumlazimisha akubali kukaa pembeni!
 
Damu za watu haziendi bure. Watapoteana wote walioshiriki haya mauaji. Badala ya kuchutama anashupaza shingo.
 
Huyu Bibi alinishangaza wakati akiapisha cabinet yake isiyo na uhalali.....alisema sasa tujjifunge,tutumie fedha zetu kidogo za ndani kukamilisha moradi yetu maana huko tulikozoea kupewa hatutaangaliwa tena kutokana na haya yaliyotokea.

Sisi tunahoji :
Kumbe anajua kilichotokea?
Kwa nini alishupaza shingo wakati anajua madhara ya alichofanya?
 
Huyu bibi ni mpuuzi sana
 
Hiyo haki ya kusikilizwa bunge la ulaya ndio wanataka wakamtume yule Kombo aliyeulizwa kwanini wamezima internet akasema

"Small groups of vandalists who are creating problems in vandalism"

Bure kabisa hawa vilaza, wanafikiri hilo bunge kuna akina baba Levo.
 
Huyu na washenzi wenzake lazima waishie ICC.

Visomo tutasoma na kila liwezekanalo tutalifanya.
 
Hakuna kitu watakachosema wataeleweka hivi sasa.

Wanajifanya wamesahau kiburi chao kipindi Bunge la EU linatoa matamko kila siku kuwaonya?

Walikuwa wanaongea kwa ngebe sana kipindi kile sasa wameua wamelfu ya Watanganyika na Dunia inataka wachukuliwe hatua.

Huu ndo muda watatamani dunia ipasuke waingie ndani ya arshi kujificha. Karma haijawahi kumiss address hata siku moja. Watulie wanyolewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…