Adrenaline ya baba yako kama haingepanda kidogo ku balance cortiso na kufanya mambo yake wewe ungekuwepo hapo unapoandika?Tumefika mwisho wa uchaguzi, baadhi ya ndugu zetu hatupo nao tena, Kwa sababu adrenaline iliwaendesha na wao kutaka kuonekana walihusika kufanya fujo
CCM kwa mda mrefu imejulikana kutoa viongozi wenye maamuzi magumu, huenda kwa sasa anahitajika kiongozi shupavu kama paul kagame,
Wakati Raisi samia anachukua uongozi kutoka kwa Hayati Dkt.Magufuli, alikuta viongozi wengi wa upinzani wanaishi nje ya nchi, kwa moyo mmoja akaamua kukaa nao chini kuanza ukurasa mpya wa siasa za Tanzania, lakini kama tunavojua wapinzani wa nchi hii ni watu ambao ni waongo miaka yote, rostam akatumika kama chambo, kikwete nae akarushiwa kashfa, kwa moyo wa upole wq Dkt Samia leo hii mali nyingi zimechomwa kwa sababu ya taarifa zizizo na uthibitsho kutoka na baadhi ya viongozi wa upinzani
Yote yameshapita lakini napendekeza serikali na vyombo vyote ya usalama kutafakari upya upi mwenendo sahihi wa siasa za wapinzani nchini, wapo wafanya biashara kama shabiby walioanza biashara kabla hata hawajafanya siasa, leo hii magari yake yamebaki majivu
Napendekeza vyombo vyote vya usalama vianze uchunguzi pamoja na upelelezi wa chanzo za maadamano haya kufanyika, kila mmoja aliehusika katika kurudisha nyuma maendeleo ya nchi basi apande mahakamani moja kwa moja, kuna dam mbaya inasambaa ya uzushi, uchochezi katika jamii isiposhuhulikiwa mapema nchi yetu haitakua kama mwanzo, Pia ukaribu wa wakenya na tanzania ufikiriwe tena, mimi ni kati ya watu tulioamini wakenya wanahusika asilimia kubwa sana kuchochea vurugu hizi, wapo baadhi waliiandamana ili na wao waonekane na wao wameweza kufanya, nashauri wachukuliwe hatua kali kwao na kwa familia zao
Mwisho kabisa ni muda mwafaka wa kuulizana kama kwel tunahitaji hivi vyama vya upinzani ama Dkt.Samia aongeze ukali kidogo angalau kama magu hatukuskia izi kelele sjui tunaandamana
Tumefika mwisho wa uchaguzi, baadhi ya ndugu zetu hatupo nao tena, Kwa sababu adrenaline iliwaendesha na wao kutaka kuonekana walihusika kufanya fujo

Unatuletea gazeti kwa mtu ambayr hana uhalali wa wapiga kura? Sasa ngoja tufanye maandamani makubwa ya amani nchi nzima, kisha tufungue kesi mahakama ya kimataifa ya ICC, utaenda kuwataja hao viongozi wa upinzani. Tukiwa huko tutaweka ushahidi wote kisha tuone wapi watishia jela.Tumefika mwisho wa uchaguzi, baadhi ya ndugu zetu hatupo nao tena, Kwa sababu adrenaline iliwaendesha na wao kutaka kuonekana walihusika kufanya fujo
CCM kwa mda mrefu imejulikana kutoa viongozi wenye maamuzi magumu, huenda kwa sasa anahitajika kiongozi shupavu kama paul kagame,
Wakati Raisi samia anachukua uongozi kutoka kwa Hayati Dkt.Magufuli, alikuta viongozi wengi wa upinzani wanaishi nje ya nchi, kwa moyo mmoja akaamua kukaa nao chini kuanza ukurasa mpya wa siasa za Tanzania, lakini kama tunavojua wapinzani wa nchi hii ni watu ambao ni waongo miaka yote, rostam akatumika kama chambo, kikwete nae akarushiwa kashfa, kwa moyo wa upole wq Dkt Samia leo hii mali nyingi zimechomwa kwa sababu ya taarifa zizizo na uthibitsho kutoka na baadhi ya viongozi wa upinzani
Yote yameshapita lakini napendekeza serikali na vyombo vyote ya usalama kutafakari upya upi mwenendo sahihi wa siasa za wapinzani nchini, wapo wafanya biashara kama shabiby walioanza biashara kabla hata hawajafanya siasa, leo hii magari yake yamebaki majivu
Napendekeza vyombo vyote vya usalama vianze uchunguzi pamoja na upelelezi wa chanzo za maadamano haya kufanyika, kila mmoja aliehusika katika kurudisha nyuma maendeleo ya nchi basi apande mahakamani moja kwa moja, kuna dam mbaya inasambaa ya uzushi, uchochezi katika jamii isiposhuhulikiwa mapema nchi yetu haitakua kama mwanzo, Pia ukaribu wa wakenya na tanzania ufikiriwe tena, mimi ni kati ya watu tulioamini wakenya wanahusika asilimia kubwa sana kuchochea vurugu hizi, wapo baadhi waliiandamana ili na wao waonekane na wao wameweza kufanya, nashauri wachukuliwe hatua kali kwao na kwa familia zao
Mwisho kabisa ni muda mwafaka wa kuulizana kama kwel tunahitaji hivi vyama vya upinzani ama Dkt.Samia aongeze ukali kidogo angalau kama magu hatukuskia izi kelele sjui tunaandamana
Vilaza hawajui chanzo cha hii shida pekee ila hata watoto wanaonyonya wanaijua.Tumefika mwisho wa uchaguzi, baadhi ya ndugu zetu hatupo nao tena, Kwa sababu adrenaline iliwaendesha na wao kutaka kuonekana walihusika kufanya fujo
CCM kwa mda mrefu imejulikana kutoa viongozi wenye maamuzi magumu, huenda kwa sasa anahitajika kiongozi shupavu kama paul kagame,
Wakati Raisi samia anachukua uongozi kutoka kwa Hayati Dkt.Magufuli, alikuta viongozi wengi wa upinzani wanaishi nje ya nchi, kwa moyo mmoja akaamua kukaa nao chini kuanza ukurasa mpya wa siasa za Tanzania, lakini kama tunavojua wapinzani wa nchi hii ni watu ambao ni waongo miaka yote, rostam akatumika kama chambo, kikwete nae akarushiwa kashfa, kwa moyo wa upole wq Dkt Samia leo hii mali nyingi zimechomwa kwa sababu ya taarifa zizizo na uthibitsho kutoka na baadhi ya viongozi wa upinzani
Yote yameshapita lakini napendekeza serikali na vyombo vyote ya usalama kutafakari upya upi mwenendo sahihi wa siasa za wapinzani nchini, wapo wafanya biashara kama shabiby walioanza biashara kabla hata hawajafanya siasa, leo hii magari yake yamebaki majivu
Napendekeza vyombo vyote vya usalama vianze uchunguzi pamoja na upelelezi wa chanzo za maadamano haya kufanyika, kila mmoja aliehusika katika kurudisha nyuma maendeleo ya nchi basi apande mahakamani moja kwa moja, kuna dam mbaya inasambaa ya uzushi, uchochezi katika jamii isiposhuhulikiwa mapema nchi yetu haitakua kama mwanzo, Pia ukaribu wa wakenya na tanzania ufikiriwe tena, mimi ni kati ya watu tulioamini wakenya wanahusika asilimia kubwa sana kuchochea vurugu hizi, wapo baadhi waliiandamana ili na wao waonekane na wao wameweza kufanya, nashauri wachukuliwe hatua kali kwao na kwa familia zao
Mwisho kabisa ni muda mwafaka wa kuulizana kama kwel tunahitaji hivi vyama vya upinzani ama Dkt.Samia aongeze ukali kidogo angalau kama magu hatukuskia izi kelele sjui tunaandamana
wasiojulikana wapo nchi zote mkuuUkikubali kuwa sehemu ya jamii inayoongoza ni ya wasiojulikana, matokeo kama haya yatarajiwe. Serekali ya CCM ya sasa haipendi kuitumia MAHAKAMA japo inalipa mishahara ya watumishi wa taasisi hiyo.
hio ICC unaitaja kila sehem wewe kila sehem kukiwa na mauaji cha kwanza ICC ama ndo wamekwambia ndo kazi yake?Unatuletea gazeti kwa mtu ambayr hana uhalali wa wapiga kura? Sasa ngoja tufanye maandamani makubwa ya amani nchi nzima, kisha tufungue kesi mahakama ya kimataifa ya ICC, utaenda kuwataja hao viongozi wa upinzani. Tukiwa huko tutaweka ushahidi wote kisha tuone wapi watishia jela.
Ndiko tunaweza kwenda kutokana na haya mauaji, huku mifumo ya kutoa haki ikiwa compromised na wauaji wetu.hio ICC unaitaja kila sehem wewe kila sehem kukiwa na mauaji cha kwanza ICC ama ndo wamekwambia ndo kazi yake?