Emma.
JF-Expert Member
- Jun 25, 2012
- 19,932
- 5,563
Heshima kwenu Wana JF
. Kinachoendelea Zanzibar mpaka sasa kinavunja moyo wa uvumilivu kwa viongozi na wanachama wa CUF.. kinachoendelea zanzibar ni ishara tosha jinsi viongozi wengi wa Afrika wanapenda kung'ang'ania madaraka kwa nguvu. Uchaguzi umefanyika kura zimehesabiwa zote matokeo yakaanza kutangazwa baadaye mizengwe tukasikia Jecha amefuta matokeo mpaka leo hakuna muafaka kati ya CCM wala CUF kwa sababu CCM wanataka uchaguzi urudiwe na CUF msimamo wao hawataki uchaguzi urudiwe wanataka tume ya uchaguzi kutangaza mshindi aliyeshinda. Je uchaguzi ukirudiwa CCM wakashindwa tena watakubali matokeo au uchaguzi utarudiwa tena?

Last edited by a moderator: