Kuna kitu nimekifikiria sana
Hili Congo tupate amani kwanza inahitaji tupate kiongozi anayependwa na raia wake na kusikilizwa na raia wake maana huyo hatatufanya tuwe pamoja na kufanya shughuli zote za jamii kwa pamoja
Sio kama tulivyo sasa wakasai. Hawapendi wakatange wabembe hatupendi wanyamulenge kwa hiyo hatupendani ili tuwe pamoja tumpate Rais anayekubalika na mwenye uwezo wa kulaani upumbavu huu wa chuki zidi yetu
Je, kwako unaona ni nani anaweza kufanya hivi
Kati ya Felix Tshisekedi
Moise Katumbi
Joseph Kabila?
Kwangu naona Moise Katumbi Maana anakubalika na wakongo wengi na wengi wanampenda
Je, wewe una mpenda nani?