Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 178,509 Reaction score 196,239 Dec 14, 2019 #21 Update? Cc: mahondaw
Fyengeresya JF-Expert Member Joined Oct 10, 2011 Posts 751 Reaction score 349 Dec 15, 2019 #22 Heri wameshinda Consevertive maana hao labour sera zao za hovyo balaa. Eti akitangazwa mshindi siku ya pili anaitambua Palestina kuwa nchi huru na makao makuu Jerusalem kama sio kuleta mtafaruku ni nini sasa?
Heri wameshinda Consevertive maana hao labour sera zao za hovyo balaa. Eti akitangazwa mshindi siku ya pili anaitambua Palestina kuwa nchi huru na makao makuu Jerusalem kama sio kuleta mtafaruku ni nini sasa?