... ukomunisti uchwara ...sisi tupo na ukomunisti
Nasikia huko kupiga kura ni kitu ya lazima kama haukupiga kura ni vigumu kupata baadhi huduma ?tupe mrejeshoNisharudi kuipigia Labour, yaani sijaona polisi kwenye kituo cha kupigia kura, hakuna foleni just 30 sec done.
Nasikia huko kupiga kura ni kitu ya lazima kama haukupiga kura ni vigumu kupata baadhi huduma ?tupe mrejesho
Naona Safari ya Brexit imepamba moto, by January 31 2020, Jamaa watakuwa huru huria
Sent using Jamii Forums mobile app
Nasikiliza BBC World Service wanashangaa Conservatives wamechukua mpaka Kensington.
Sent using Jamii Forums mobile app
Boris Johnson tapeli tu, maneno mengi vitendo vichache.Wananchi wamefanya maamuzi magumu sana kuipigia conservative, hasa wa Labour, hivyo Boris hana budi kusikiliza vilio vya wananchi wake hasa walio mlengo wa kulia Labour, ana kazi ngumu ya kuliunganisha taifa
Na inavyoonekana Brexit tu, ndicho walichompendea hakuna zaidi ya hapo.Boris Johnson tapeli tu, maneno mengi vitendo vichache.
Ataangukia pua baada ya watu kuona hawezi ku deliever walichotegemea zaidi ya Brexit.
Wanachojali wapiga kura ni Brexit kwasasa kama kutakuwa na mengine hayo ni ya baadaye kwao.Then ndio utakuwa mwisho wa conservative