Uchaguzi TLS : Mawakili jiepusheni na jazba na fujo.

Seif al Islam

JF-Expert Member
Nov 14, 2011
2,156
638
Baada ya kila mbinu iliyotumika kukwamisha uchaguzi wa TLS kukwama, ni dhahiri sasa kuwa adui wa Mawakili anasubir Mawakili wafanye kosa lolote ili tu wapate mwanya wa kukwamisha uchaguzi.
Mawakili wasomi najua mnanielewa sana. Niwashauri kijiepusha na mihemuko inayoweza kuzua au kuwapa watu flan mwanya wa kuzua vurugu ili kipatikane kisingizio cha kuvunja mkutano na kuahirisha uchaguzi.
Stay informed.
 
Back
Top Bottom