Wakati tunazidi kusubiri matokeo yachakachuliwe!
Tukumbuke pia kuwa leo ni uchaguzi US. Ambako inasemekana Democrats watapoteza majority kwenye senate, hii ni kutokana na hali mbaya ya kiuchumi hasa ukosefu wa kazi iliyotawala tangu Obama alipoingia madarakani.