JACADUOGO2.
JF-Expert Member
- Dec 13, 2010
- 930
- 220
Jimboni Rorya kutakuwepo na uchaguzi wa madiwani wa kata tatu tofauti 02/10/2011 ambapo kampeni zitaanza 07/09/2011 kata hizo ni:
1. Nyahongo
2. Mkoma
3. Nyamtinga.
Madiwani wa kata hizo tatu walijiuzulu kuanzia December 2010 kutokana na ufisadi wa Lameck Airo ambaye ni mbunge wa jimbo la Rorya (CCM) na hao madiwani wote waliojiuzulu walikuwa ni wa Chama cha Magamba (CCM)!
Naomba wanarorya wote mimi nikiwa mstari wa mbele tuungane ili kukomboa hizo kata kwa kuzipeleka CHADEMA!
Hii ni pamoja na kata zingine 19 ambazo jumla ya hizo kata kwa pamoja ni 22 na bila kusahau jimbo letu la IGUNGA!
PEOPLE'S ........!!!!!
Kumbe hata kuingia bado kazi kuendeleza majungu tu wanaojua kuwa ni jambazi ni wapiga kura wake.Wewe Jacaduogo utakuwa wewe ni JOHN MASHAKA. kwa maana wewe ndo unatarajiwa kugombea ubunge jimbo la Rorya 2015 kupitia chama gani vile? Usijifanya msomi sana na mkombozi wa Rorya. Tupo wachapakazi kimya tu. Tunasubiri kuingia kitaa....Lameck Airo Fisadi Jambazi la Ng'ombe
Naunga mkono.hao hao walio jiuzulu wagombee tena ila kwa chama tofauti na ccm
Wewe Jacaduogo utakuwa wewe ni JOHN MASHAKA. kwa maana wewe ndo unatarajiwa kugombea ubunge jimbo la Rorya 2015 kupitia chama gani vile? Usijifanya msomi sana na mkombozi wa Rorya. Tupo wachapakazi kimya tu. Tunasubiri kuingia kitaa....Lameck Airo Fisadi Jambazi la Ng'ombe
hao hao walio jiuzulu wagombee tena ila kwa chama tofauti na ccm
Changia hoja punguza mzuka.chadema ndio nini? ondoa upumbavu wako!