Gurta JF-Expert Member Joined Sep 17, 2010 Posts 2,233 Reaction score 537 Nov 22, 2010 #1 Tukichagua viongozi kijuha, tutaongozwa kijuha, na tutaishi kijuha. - Ayoub Rioba (Mwananchi Jumapili) :attention: Nimeipenda dhana ya UJUHA na ikanikumbusha habari za Mfalme Juha.
Tukichagua viongozi kijuha, tutaongozwa kijuha, na tutaishi kijuha. - Ayoub Rioba (Mwananchi Jumapili) :attention: Nimeipenda dhana ya UJUHA na ikanikumbusha habari za Mfalme Juha.