Uchaguzi mkuu ujao kwa zanzibar utafanyika trh, mwaka na siku sawa na bara?!

sirjohn

JF-Expert Member
Aug 6, 2014
767
677
Mpaka sasa ni miezi toka Jecha afute uchaguzi wa zanzibar. Hatujajua hatima yake, endapo Mungu akasaidia na rais akapatikana kwa kurudia au kutangaza aliyeshinda kwa uchaguzi wa Jecha.

Ili kukizi matakwa ya sheria ya rais kuhudmu miaka mitano! je uchaguzi ujao wa zanzibar bado utafanyika trh mwaka 2020 kwa trh na mwezi sawa na bara?
 
utafanyika miezi ya oct au nov 2020 kama itakavyokuwa bara au itakuwaje wakubwa!
 
Usiumize akili hadi kufikia 2020 Zanzibar na Tanganyika nchi mbili na mamlaka kamili.CCM wamelikoroga kweli msimu huu.
 
kama uchaguzi utakuwepo 2016,bado ujao utakuwa sawa na bara tu.Mfano Kenya, rais Uhuru aliingia 2013 badala ya 2012(ili kuruhusu marekebisho ya katiba) lakini uchaguzi umeshatangazwa uko palepale 2017.Kikwete pia aliingia disemba 2005 na 2010 tume haikusubiri hadi disemba kukamilisha exactly miaka mi5 badala yake ngoma ikapigwa octoba kama ilivyozoeleka.
 
Back
Top Bottom