Uchaguzi mkuu BAWACHA kutoka Mlimani city

Uchaguzi mkuu BAWACHA kutoka Mlimani city

Malova

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2011
Posts
784
Reaction score
228
attachment.php

Halima Mdee Mwenyekiti mpya wa BAWACHA TAIFA akiwashukuru wapiga kura


Fuatilia uchaguzi mkuu wa BAWACHA live hapa jamvini na ITV
Hapa ni baadhi ya wajumbe kutoka maeneo mbalimbali, wagombea na wageni waalikwa.
attachment.php
attachment.php
attachment.php


Mkutano wa uchaguzi wa BAWACHA, umefunguliwa na Mwenyekiti wa chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA Freeman Mbowe.

Kusikiliza Freeman Mbowe alichokisema, bonyeza hiki kitufe hapa chini

Matokeo ya Uchaguzi wa BAWACHA
Mwenyekiti: Halima James Mdee (kura 165)
Makamu Bara: Hawa Mwaifunga (kura 136)
Makamu Zanzibar: Janeth Medad Fussi (174)


[JFMP3]https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=184543&d=141043219[/JFMP3]
 

Attachments

  • IMG_20140911_120847.jpg
    IMG_20140911_120847.jpg
    252.8 KB · Views: 13,014
  • IMG_20140911_120904.jpg
    IMG_20140911_120904.jpg
    266.2 KB · Views: 12,487
  • IMG_20140911_120916.jpg
    IMG_20140911_120916.jpg
    288.6 KB · Views: 12,149
  • IMG_20140911_130816.jpg
    IMG_20140911_130816.jpg
    238.6 KB · Views: 1,281
  • Freeman Mbowe akiwahutubia BAWACHA.mp3
    Freeman Mbowe akiwahutubia BAWACHA.mp3
    3.6 MB · Views: 1,701
  • halima.jpg
    halima.jpg
    46 KB · Views: 3,568
Mama Mongela anatoa ujumbe "popote Duniani Wanawake ni kitu kimoja"
 
Atupati sauti Itv jaribuni kurekebisha mitambo yenu mmekuaje mtaalamu wa sauti vipi
 
Nasikia hicho kiti anapewa Halima Mdee!

Hata Mimi nimesikia kwamba wana BAWACHA toka Unguja, Pemba, Mwanza, Shinyanga, Mbeya, Singida, Mara, Kagera nk. wamekusanyika ukumbini kwa gharama zote, kuja "KUMPA" kiti Mdee. (too low for you mtanzania mwenzangu)
 
Last edited by a moderator:
Mkuu na Josephine anataka awe mgombea wa ubunge KAWE mwaka 2015. Nadhani ndio sababu Mdee anatulizwa kwanza.

Mwaka huu mtapata shida sana...mamluki wote tulisha wa flash Msalani .......uchaguzi unaendelea bila vurugu...jifunzeni kutoka chadema...Hakuna Rushwa kabisa
 
Mkuu na Josephine anataka awe mgombea wa ubunge KAWE mwaka 2015. Nadhani ndio sababu Mdee anatulizwa kwanza.

Nafikiri hizo ni zile Ndoto Mnazootaga hapo Lumumba na Aibu iliyowapata kwa Majibu yenu ya Utanda meumbuliwa Na bavicha Aibu yenu

 
Back
Top Bottom