Uchaguzi mdogo wa madiwani katika kata za Arusha, wahairishwa.

hasason

JF-Expert Member
Sep 19, 2012
1,648
1,538
Kutokana na mlipuko wa bomu uliotokea jana na kugharimu maisha ya watu kadhaa na majeruhi zaidi ya 40
uchaguzi wa kuchagua madiwani katika kata za jiji la arusha umehairishwa na tume ya uchaguzi Tanzania.
mpaka tarehe 30 ya mwezi hu. imetolewa na mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi Tanzania
 
Upo palepale hizo ni mbinu mbadala za mpiga bomu kutaka kusudi lake la kupiga mabomu litimie.
 
hata wakiahirisha mpaka tar mia! Tuna hasira nao na tume yao ya magamba! Watuletee hata mawe tuyachague kwa ticket ya cdm
 

poa. ila ndio lengo lao tusubilie lengo lao litajulikana tu.ila kwanini mbinu zao nikuuwa watu kwanini wastafute mbinu nyingine nasema nanyie ccm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…