Uchaguzi mdogo wa madiwani katika kata za Arusha, wahairishwa.


hasason

hasason

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2012
Messages
1,558
Likes
816
Points
280
hasason

hasason

JF-Expert Member
Joined Sep 19, 2012
1,558 816 280
Kutokana na mlipuko wa bomu uliotokea jana na kugharimu maisha ya watu kadhaa na majeruhi zaidi ya 40
uchaguzi wa kuchagua madiwani katika kata za jiji la arusha umehairishwa na tume ya uchaguzi Tanzania.
mpaka tarehe 30 ya mwezi hu. imetolewa na mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi Tanzania
 
Capt Tamar

Capt Tamar

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2011
Messages
9,022
Likes
7,076
Points
280
Capt Tamar

Capt Tamar

JF-Expert Member
Joined Dec 15, 2011
9,022 7,076 280
Utafanyika lini?
 
P

Penguine

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2009
Messages
1,290
Likes
464
Points
180
P

Penguine

JF-Expert Member
Joined Nov 29, 2009
1,290 464 180
Upo palepale hizo ni mbinu mbadala za mpiga bomu kutaka kusudi lake la kupiga mabomu litimie.
 
M

mudymnandi

Member
Joined
May 7, 2012
Messages
41
Likes
0
Points
0
M

mudymnandi

Member
Joined May 7, 2012
41 0 0
kutokana na mlipuko wa bomu uliotokea jana na kugharimu maisha ya watu kadhaa na majeruhi zaidi ya 40
uchaguzi wa kuchagua madiwani katika kata za jiji la arusha umehairishwa na tume ya uchaguzi tanzania.
Mpaka tarehe 30 ya mwezi hu. Imetolewa na mwenyekiti wa tume ya uchaguzi tanzania
hata wakiahirisha mpaka tar mia! Tuna hasira nao na tume yao ya magamba! Watuletee hata mawe tuyachague kwa ticket ya cdm
 
S

Sugar Junior

Member
Joined
May 6, 2013
Messages
71
Likes
0
Points
0
S

Sugar Junior

Member
Joined May 6, 2013
71 0 0
Kutokana na mlipuko wa bomu uliotokea jana na kugharimu maisha ya watu kadhaa na majeruhi zaidi ya 40
uchaguzi wa kuchagua madiwani katika kata za jiji la arusha umehairishwa na tume ya uchaguzi Tanzania.
mpaka tarehe 30 ya mwezi hu. imetolewa na mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi Tanzania
poa. ila ndio lengo lao tusubilie lengo lao litajulikana tu.ila kwanini mbinu zao nikuuwa watu kwanini wastafute mbinu nyingine nasema nanyie ccm.
 

Forum statistics

Threads 1,273,083
Members 490,268
Posts 30,470,607