Uchaguzi mdogo, UKAWA ujitafakari

Kifurukutu

JF-Expert Member
Aug 29, 2013
4,628
6,669
Hali imekua tofauti na mshangao mkubwa baada ya mategemeo yetu tulio wengi kwamba wananchi wangeiadhibu serikali ya CCM kupitia sanduku la kura za uchaguzi mdogo wa madiwani na ubunge kule dimani.

Matokeo yake kila mtu ameona kilichotoke, Hali imekua tofauti na matarajio kwani UKAWA ile haipo tena, nguvu si ile tuliyoitarajia, wameshindwa kuachiana majimbo kama makubaliano yalivyofikiwa wakati wa kuanzishwa kwa umoja huu wenye lengo la kukomesha utawala wa mkoloni mweusi CCM.. juhudi zimegonga mwamba pasi na shaka.

Ni muda muafaka sasa wapinzani tuache kulaumiana licha ya figisu kutawala katika uchaguzi, tukae chini tutafakari je kuna umuhimu wa kuwa na UKAWA kwa hali ilivyo sasa?

Ni dhahiri upinzani hasa CHADEMA wenye nia ya dhati na nchi hii kukaa na kuangalia njia nyingine ya mafanikio out of UKAWA, ukweli mchungu huwezi pata mafanikio na watu ving'ang'anizi kama kina Lipumba!

Ni bora sasa kila chama kijiendeshe peke yake huenda tutafanikiwa au viongozi wa upinzani wakae wakubali kuua vyama vyao na kuunda chama kimoja chenye nguvu kuliko kutembea chini ya mwamvuli wa Ukawa.

matokeo haya ya Uchaguzi mdogo yawe ni chachu ya mabadiliko yenye tija kwa siasa za upinzani!
 
ukawa ndio nin
 
Tunaelekea single party no opposition
 
Ving'ang'anizi wapo wengi ukawa mbali ya Lipumba na hizo ndio sifa kuu za wana Ukawa,kuanzia Mbatia -kaifanya NCCR yake,Mbowe kaifanya Chadema mali binafsi na sasa amekuja Edo,king'ang'anizi mwingine anaamini yeye tu ndie anaweza kuwa raisi,kuna Sumaye nae ni ruba ,njoo kwa Maalimu yeye tokea enzi za marehemu Jumbe baado anaota ndoto za mchana.
 
ndio wajitafakari sasa
siasa zimebadilika sana wanahitaji kwenda na wakati
 
Ni kujidanganya kama hatutambui kuwa Tanzania matangazo ya uchaguzi yanatangazwa tu! Wasimamizi wote wale ni wateuliwa wa raisi ambaye ni mwenyekiti wa CCM. Nani angependa kupoteza kibarua chake? Pigeni kura tu lakini mshindi tumtakaye atatangazwa tu!!
 
Back
Top Bottom