lwa kalolo
Senior Member
- Nov 24, 2014
- 159
- 73
Mpaka sasa bado kuna wengi sana ktk line ya kupiga kura wenda ikafika saa moja.waliweka kituo kimoja mida furani mtendaji kasema kwa kuwa wa2 ni wengi basi wapige kura bila kutafuta jina kwamba ukifika ndani ya chumba piga kura bila kukutafuta ktk dafutari watu tumempinga sana kwamba hata kama kesho tutapanga msitari lkn lazima jina litafutwe mpaka lionekane,pia vijana wameshajipanga kwa ulinzi watu wamefukuzwa eti wameletea masimamizi chakula ngoja tusubili matokeo ila kuna kila dalili za ccm kutoka kapa kwani ndo wana haha uko na uko sasa hivi na vijana wamekaza ile kinoma