Uchaguzi mdogo Geita kata Kalangala mtaa wa Mwatulole

lwa kalolo

Senior Member
Nov 24, 2014
159
73
Mpaka sasa bado kuna wengi sana ktk line ya kupiga kura wenda ikafika saa moja.waliweka kituo kimoja mida furani mtendaji kasema kwa kuwa wa2 ni wengi basi wapige kura bila kutafuta jina kwamba ukifika ndani ya chumba piga kura bila kukutafuta ktk dafutari watu tumempinga sana kwamba hata kama kesho tutapanga msitari lkn lazima jina litafutwe mpaka lionekane,pia vijana wameshajipanga kwa ulinzi watu wamefukuzwa eti wameletea masimamizi chakula ngoja tusubili matokeo ila kuna kila dalili za ccm kutoka kapa kwani ndo wana haha uko na uko sasa hivi na vijana wamekaza ile kinoma
 
Hii ni aibu kwa tume ya uchaguzi,miaka yote minne maandalizi yanakuwa hovyo hivi
 
Mpaka sasa 22:00 bado watu wako ktk line kwenye kituo cha mwatulole kata Kalangalala geita wakipiga kura za kuchagua viongozi wa serikali za mitaa
 
duuuh kwahiyo bado mnazid kudumbukiza kula hvyo hvyo wataiba ccm hapo nawanatafuta njia yakupata kilahis
 
Da! Mpaka mda huu watu bado ni wengi ktk msitari ktk kata ya kalangalala mkoa geita mtaa mwatulole mwendo ni jina lipatikane ndo kura inapigwa chini ya mawakala makini wa chadema asikari walitaka kuingia chumba cha uchaguzi wananchi wakawatoa ndani kwamba kwa mda huu hawamwamini yeyote hivyo wakaguliwe wakatiwa kuingia na wakati wa kutoka asikali imebidi wasepe tumebaki na mgambo
 
Vijana ni wengi sana ambao wanasubili watu wamalize kupga kura na ziesabiwe na wapewe matokeo ila kwa namna navyoona inaweza ifike hata saa 8 watu wakiwa wanapiga kura
 
Wa kuu geita kata ya kalangalala mtaa mwatulole mpaka sasa hivi saa 02:10 usiku bado watu kadhaa wako ktk msitari wa kupiga kura na watu bado shazi wanasubili
 
Mpaka sasa 22:00 bado watu wako ktk line kwenye kituo cha mwatulole kata Kalangalala geita wakipiga kura za kuchagua viongozi wa serikali za mitaa

Kweli watu wameamua, vipi mitaa mingine kama Shilabela ambayo najua ipo karibu na mwatulole na pana watu wengi zaidi. Hali ilikuwaje?
 
Wa kuu geita kata ya kalangalala mtaa mwatulole mpaka sasa hivi saa 02:10 usiku bado watu kadhaa wako ktk msitari wa kupiga kura na watu bado shazi wanasubili

Hii itakuwa imevunja record mkuu.
Watu kweli wameelimishwa na elimu ya uraia imewaingia.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom