Hii post mods hawajaiona nini?!! manake mie kusema "kwa picha ninazoziona ch10, CHADEMA kwishaaaa!", mods wameiondoa hiyo post!!!!!! nimejaribu kuisoma zaidi ya mara kumi huku nikiangalia na lugha niliyotumia lakini bado cjaona kilichowafanya waheshiwa hawa waiondoe hiyo post!!! Kama NEC wanatakiwa kupunguziwa madaraka basi wa mwanzo wanaotakiwa kujipunguzia madaraka ni mods wa JF!