Uchaguzi Chalinze

Uchaguzi Chalinze

Mzito Kabwela

Platinum Member
Joined
Nov 28, 2009
Posts
18,904
Reaction score
7,746
Nimekuja Chalinze kushiriki
uchaguzi mdogo wa Ubunge Jimbo
la Chalinze . Nimekata tamaa na kupiga kura
kesho yaani bora nikashinde
ibadani kwani zinamwaga hela
kama zinatengenezwa stationary
vile!
Namshauri tu kama akichaguliwa
atakapokuwa ameshika msaafu
bungeni aanze kuungama kwanza
kisha ndo' aendelee. Na asiape
kwa kusema "Ee Mwenyezi Mungu
unisaidie bali aseme "Eee
Mwenyezi Mungu unirehemu..."
'Am so disapointed kwa kweli lakini TUTAPAMBANA

CC: Somoche
 
Last edited by a moderator:
Akaape wapi?

Chalinze jimbo la CDM kuanzia kesho
 
Nimekuja Chalinze kushiriki
uchaguzi mdogo wa Ubunge Jimbo
la Chalinze . Nimekata tamaa na kupiga kura
kesho yaani bora nikashinde
ibadani kwani zinamwaga hela
kama zinatengenezwa stationary
vile!
Namshauri tu kama akichaguliwa
atakapokuwa ameshika msaafu
bungeni aanze kuungama kwanza
kisha ndo' aendelee. Na asiape
kwa kusema "Ee Mwenyezi Mungu
unisaidie bali aseme "Eee
Mwenyezi Mungu unirehemu..."
'Am so disapointed kwa kweli lakini TUTAPAMBANA

CC: Somoche

Kwa kweli inasikitisha kuona bado kuna watu wanakubali kuhongwa 'vijisenti' ili wawafungulie njia wachache wajizolee matrilioni ya pesa. Ukweli ni kuwa hivyo 'vijisenti' watavitumia kwa muda mfupi tu na kesho yake maisha yataendelea kuwa magumu. Huo ni mzigo wanaowabebesha watoto na wajukuu zao. Hawana tofauti na wale machifu wa zamani waliokubali kuiuza nchi yetu kwa kuhongwa shanga... Wao hawakuwa na uwezo wa kupambanua, na siyo vizuri kuwalaumu kwa makosa waliyoyafanya karne ya 19. Lakini tuna kila haki ya kuwalaumu wanaorudia makosa yale yale karne ya 21!!!
 
Drama zimeanza kila siku mnasema mnaanza na Mungu vipi tena kulikoni Mungu wenu kashindwa kuzuia pesa.

Safari hii hakuna cha Chopa wala Chopra ni bakora tu.

Yeroo! Anajuta kugombea ubunge Chalinze.
 
Acha uchochezi Ridhiwani wala hana mpinzani kumbe akamwage pesa za nini,mfa maji ndo wewe huachi kunyakunya unadhani chalinze ni kalenga mkapeleka helkopta 5 na wabunge 40 mkapata kata 1?wananchi tumewashtukia babu hatutaki uhafidhina
 
Drama zimeanza kila siku mnasema mnaanza na Mungu vipi tena kulikoni Mungu wenu kashindwa kuzuia pesa.

Safari hii hakuna cha Chopa wala Chopra ni bakora tu.

Yeroo! Anajuta kugombea ubunge Chalinze.

kwahiyo ni kweli mnatoa rushwa,huna hata aibu kulitoa hadharani kweli mnangamiza taifa,kuna hesabu mtaitoa mbele ya mwenyezi mungu
 
Barabara ndefu haikosi kona. Hakuna marefu yasiyo na ncha. Utawala wa Kibabeli ulikoma, wa Rumi ulikoma, ukoloni ulikoma - je, huu hautakoma? Worry not. What matters is to stand on a right way. Time will come and indeed this is the right time. Ukiona mtu anatumia pesa kama silaha ya kufikia destiny ambayo kimsingi ni haki yake kuipata bure, ujue yupo hali mbaya na yupo hatua ya mwisho. Hii si kwa CCM tu bali ni natural kwa mtu wa Chama au taasisi yoyote. Hata uwe na fedha nyingi za kupata matibabu kwenye hospitali za kipekee duniani - when time comes for you to die there is no way - you will die. Tumieni fedha sana lkn time will come and it has already come. Get prepared!!!
 
Acha uchochezi Ridhiwani wala hana mpinzani kumbe akamwage pesa za nini,mfa maji ndo wewe huachi kunyakunya unadhani chalinze ni kalenga mkapeleka helkopta 5 na wabunge 40 mkapata kata 1?wananchi tumewashtukia babu hatutaki uhafidhina

hamna chochote rafiki
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom